kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ni lini Lissu amewahi kupendekeza kuweka ukomo kwenye uongozi wa chama cha chadema akakataliwa?
Kwanini anaisema katiba kwenye mkutano wa bayana/hadhara badala ya kutumia vikao vya chama?
Kama chadema wanataka chama chao kife, basi wamkumbatie Lissu.
Dunia nzima sasa hivi imekumbatia dialogue badala ya jino kwa jino kama kule Sundani kwa aikna RSF na Jeshi, DRC na M23, Urusi na Ukraine, nk. Lissu anataka nginjangija inayopoteza watu weeeengi na mali zao badala ya dialogue.