LIssu alikosea, Mbowe hakuvunja katiba kuwa mwenyeti kwa muda mrefu

LIssu alikosea, Mbowe hakuvunja katiba kuwa mwenyeti kwa muda mrefu

Poleni sana.

Hivi CHADEMA wameshindwaje chaguzi zilizopita na Wajinga au "Mabumunda"

Uzeni sera. Sii maneno maneno.
Lissu ni mwanaharaki kuliko mwanasiasa. Hana sera juu ya nini atalifanyia taifa akiingia Ikulu. Sera zake ni wamasai wa ngorongoro, DP world na Muungano. Lakini hasemi atafanya nini mbadala kwenye kilimo uvuvi, ufugaji, viwanda, uchimbaji na biashara vitoe tija kuliko ilivyo sasa

Sina uhakika lakini hizi ni njama za kukipasua chama ili kutoa nafuu 2025 kama walivuofanya NCCR miaka ileee ya akina marando na mrema.

Nyuma ya Lissu Kuna ama maproCCM mama 2025 au maproCCM anti-mama 2025.
 
Back
Top Bottom