Hiyo dialogue iliyofanyika kwa jina la maridhiano imeleta matokeo gani?. Lissu anataka nginjangija inayopoteza watu weeeengi na mali zao badala ya dialogue.
Hakuna mahali Lissu alisema Mbowe amevunja Katiba kwa kukaa muda mrefu bali alisema yeye akiwa madarakani mojawapo ya mambo atakayofanya kuifanyia marekibisho Katiba ili kuweka ukomo wa vipindi vya uongozi. Lissu ndiye Mwenyekiti ajaye.Ni lini Lissu amewahi kupendekeza kuweka ukomo kwenye uongozi wa chama cha chadema akakataliwa?
Kwanini anaisema katiba kwenye mkutano wa bayana/hadhara badala ya kutumia vikao vya chama?
Kama chadema wanataka chama chao kife, basi wamkumbatie Lissu.
Dunia nzima sasa hivi imekumbatia dialogue badala ya jino kwa jino kama kule Sundani kwa aikna RSF na Jeshi, DRC na M23, Urusi na Ukraine, nk. Lissu anataka nginjangija inayopoteza watu weeeengi na mali zao badala ya dialogue.
Tusichoke na dialogue, hata akina Nyerere waliwafukuza wakoloni nchini kwa dialogue huku wakiendelea kuimarisha chama chao cha TANU. Vyama vyetu vya upinzani viko imara kiasi gani kuweza kuiongoza nchi? Tuna viongozi wanaohamahama kila siku kutafuta maslahi binafsi. Chadema ina wabunge wangapi bungeni hata wakichaguliwa kwenda Ikulu leo, au wataishia kutangaza Martial Law kama yule rais wa Korea Kusini? Tuache kudanganya watanzania vyama vyetu vya upinzani haviko tayari kuliongoza taifa, hata ofisi za kueleweka kila mkoa havina, ni kama saccos tu kila kiongozi kujitafutia maisha binafsi.Hiyo dialogue iliyofanyika kwa jina la maridhiano imeleta matokeo gani?
Yeye ni makamu mwenyekiti na mwanasheria mkuu wa chama kwa miaka mingi, ni lini alishawahi kupeleka agenda kwenye mikutano kuhusu ukomo wa uongozi ndani ya chama?Hakuna mahali Lissu alisema Mbowe amevunja Katiba kwa kukaa muda mrefu bali alisema yeye akiwa madarakani mojawapo ya mambo atakayofanya kuifanyia marekibisho Katiba ili kuweka ukomo wa vipindi vya uongozi. Lissu ndiye Mwenyekiti ajaye.
Ni lini Lissu amewahi kupendekeza kuweka ukomo kwenye uongozi wa chama cha chadema akakataliwa?
Kwanini anaisema katiba kwenye mkutano wa bayana/hadhara badala ya kutumia vikao vya chama?
Kama chadema wanataka chama chao kife, basi wamkumbatie Lissu.
Dunia nzima sasa hivi imekumbatia dialogue badala ya jino kwa jino kama kule Sundani kwa aikna RSF na Jeshi, DRC na M23, Urusi na Ukraine, nk. Lissu anataka nginjangija inayopoteza watu weeeengi na mali zao badala ya dialogue.
Kama ungemsikiliza Lissu kwenye hotuba yake siku anatangaza nia usingeanzisha hii thread, alitoa maelezo ya kutosha kujibu hizi hoja zako, itafute usikilize .Yeye ni makamu mwenyekiti na mwanasheria mkuu wa chama kwa miaka mingi, ni lini alishawahi kupeleka agenda kwenye mikutano kuhusu ukomo wa uongozi ndani ya chama?
Chawa wa Mbowe wakishirikiana na chawa wa Samia wamepandisha mashetani wanabwata ovyo.Hapo Chadema wengi mmerogwa ni misukule π€£
Nimemsikiliza mwanzo mwisho, lakini hakujibu maswali kama yalivyoulizwa, bali alitafuta upenjo ya kukwepa wajibu wake kama kiongozi mkuu (mwanasheria, makamu Mwenyekiti) wa chama. Katika hali ya kawaida alipaswa kujiuzulu nafasi zake kama ushauri wake ulikuwa hauzingatiwi kwenye vikao. Mbona hakujiuzulu uanasheria mkuu wa chama na umakamu mwenyekiti wa chama kama kweli ushuri wake ulikuwa hausikilizwi?Kama ungemsikiliza Lissu kwenye hotuba yake siku anatangaza nia usingeanzisha hii thread, alitoa maelezo ya kutosha kujibu hizi hoja zako, itafute usikilize .
Kaka dialogue haijawahi kushindwa jambo. ILA kabla ya kuchangua njia hii ya dialogue lazima kwanza ufanye SWOC (nguvu ulizonazo, udhaifu wako, fursa ulizonazo na changamoto zilizoko) Analysis kuhusu wewe mwenyewe kwa kujilinganisha na mpinzani wako. Dialogue ni njia ya uhakika lakini njia ndefu kidogo.Hiyo dialogue iliyofanyika kwa jina la maridhiano imeleta matokeo gani?
Maccm ni mabumunda kama mwenyekiti wao ndio maana kwasasa hayawezi kushinda uchaguzi wowote bila polis Kwa kiti chochote kinachogombaniwa na hii ni kutokana na akili zake za kijinga.Hakuna mahali Lissu alisema Mbowe amevunja Katiba kwa kukaa muda mrefu bali alisema yeye akiwa madarakani mojawapo ya mambo atakayofanya kuifanyia marekibisho Katiba ili kuweka ukomo wa vipindi vya uongozi. Lissu ndiye Mwenyekiti ajaye.
Ccm wengi ni mabwabwa ndio maana hamuwezi kujipambania bila polis.Hapo Chadema wengi mmerogwa ni misukule π€£
Nadhani Tuishie Hapa.Tusichoke na dialogue, hata akina Nyerere waliwafukuza wakoloni nchini kwa dialogue huku wakiendelea kuimarisha chama chao cha TANU. Vyama vyetu vya upinzani viko imara kiasi gani kuweza kuiongoza nchi? Tuna viongozi wanaohamahama kila siku kutafuta maslahi binafsi. Chadema ina wabunge wangapi bungeni hata wakichaguliwa kwenda Ikulu leo, au wataishia kutangaza Martial Law kama yule rais wa Korea Kusini? Tuache kudanganya watanzania vyama vyetu vya upinzani haviko tayari kuliongoza taifa, hata ofisi za kueleweka kila mkoa havina, ni kama saccos tu kila kiongozi kujitafutia maisha binafsi.
Poleni sana.Maccm ni mabumunda kama mwenyekiti wao ndio maana kwasasa hayawezi kushinda uchaguzi wowote bila polis Kwa kiti chochote kinachogombaniwa na hii ni kutokana na akili zake za kijinga.