Lissu ni mwanaharaki kuliko mwanasiasa. Hana sera juu ya nini atalifanyia taifa akiingia Ikulu. Sera zake ni wamasai wa ngorongoro, DP world na Muungano. Lakini hasemi atafanya nini mbadala kwenye kilimo uvuvi, ufugaji, viwanda, uchimbaji na biashara vitoe tija kuliko ilivyo sasa
Sina uhakika lakini hizi ni njama za kukipasua chama ili kutoa nafuu 2025 kama walivuofanya NCCR miaka ileee ya akina marando na mrema.
Nyuma ya Lissu Kuna ama maproCCM mama 2025 au maproCCM anti-mama 2025.