Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

Sawa Sheikh Saidi Mwaipopo
 
Kipindi chote tulikuwa tunajua anakuja na vifungu vya sheria kumnasua yeye mwenyewe ila juzi analalama huku akiweka mafaili kwenye mikoba kuwa hakuna sheria ya kukinukisha au kuvuruga uchaguzi, dah ilikuwa kinyonge sana
 
And this is what takes chakadwmus out of line

Hawa wazungu meant nothing kwa domokrasia yetu

Hizi nishani apewe na wa Tanzania

Na hadi leo hata nyie chakandumuz hamjampa hata ngao ya uvumilivu na ushujaa

Hivi nani ni strategist wenu?
What the hell is chakandumuz?
 
Duniani kote hakuna mhaini mmoja lazima connection iwepo silaha na dhamira ya kuua viongozi wakuu wa nchi haya twambie lissu alitaka kumuua nani mmoja wapo hapo
 
Mkuu unafahamu kuhusu hostile witness?
Tafuta mwanasheria akusaidie
 
Ni jukumu la upande wa mashtaka kuithibitishia mahakama kuwa Lissu ana hatia,sio jukumu la mshtakiwa kuprove innocence yake!
So far,upande wa mashtaka mpaka inamaliza mashahidi wake,umeshindwa kuithibitishia mahakama beyond reasonable doubt kuwa Lissu is quilt!
Case ni absurd na nonsense!
 
Hao chawa hawawezi kukuelewa kwa sababu kwanza hawana akili za ku-reason au hata ku-digest proceedings za mahakamani na pia tatizo kubwa zaidi la hawa UVCCM ni ushabiki, kwao logic ni zero kwani haya yanayoendelea wanayachukulia kama ushabiki wa Yanga na Simba.
 
Unapoandika ukiwa haujijui unaandika usichokijua na ukija kujua kuwa haujui unakuwa umechelewa sana. Ukijaa povu niulize "kwani wewe unajua nini" na kwa kebehi nitakujibu "ninajua kuwa haujui kama haujui" Kwa kifupi inatia huruma sana unazi na uchama kwenye masuala ya utangamano wa Kitaifa na maisha ni kama maji na mafuta.
 
mwanaume wakiwa na mambo yao mjomba kaa mbali acha kuwalegezea sauti.
 

Tatizo la kesi sio wepesi hii ni kesi nyepesi sana. Tatizo ni maamuzi ya kuelekezwa ambayo hayajali kesi ni ya namna gani. Hawa majaji machawa wa kupigiwa simu wanasikiliza tu Samia anasema nini???? wewe utakuwa mjinga wa kufikiri uhaini unafanywa na mtu mmoja kwa maneno! labda kesi nyingine sio uhaini! Hii ingetakiwa kuwa kesi ya uchochezi tu. Tatizo wakisema ana hatia huko mbele yeyote anaweza kunyongwa kwa ujinga kama hivi.
 
Hujuaji mwingi huku mitandaoni wanatujaza vifungu kibao ila mbele ya katuga sijui vifungu vinapoteleaga wapi! Yani kama katuga asingekuwepo wangetudanganya sana.
Katuga bonge la kilaza hajui chochote. Anachojua ni kujaza vyoo vya umma tu.
 

Abduli nasikia anampenzi wake wake wa jinsia moja hapa ambaye ni chawa je ni wewe au unakanusha
 
Wewe rudi kimataifa tukaungane na irani huku umepotea njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…