Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

Wanaukumbi.

LISSU ALIKUWA HAJUI KUWA ANACHEZA NA MOTOšŸ“Œ

INAWEZEKANA KABISA Bwana Lissu alikuwa hajui kuwa anacheza na moto au alikuwa anacheza na watu wako siriazi na mambo haya mpaka alipojikuta ana kesi ya kujibu..

Lissu, alianza kuidogosha hii kesi yake na kujifanya ni kesi nyepesi na alifanikiwa kuwaaminisha nyumbu wake wa UFIPA mpaka wakawa wanakusanyika pale Kisutu na kula ubwabwa mara sijui ana mawakili 300 kwa ajili ya kumtetea mpaka siku aliyosomewa commital..

HUKO Kistu alifanya kila aina ya vibweka ikiwemo kulazimisha kesi iwe inarushwa live akidhani hilo ni jambo litamsaidia sana kwenye kesi yake lakini alikuwa hawajui vizuri watanzania kuwa wanachoka haraka sana kwenye mambo haya

KESI ikaenda mahakama kuu akaanza kwa mbwembwe sana na kudogosha mawakili wa serikali kuwa hakuna kesi pale na mengine mengi ya aina hiyo ambayo yanaongewanga na watu wagonjwa wa akili kama Lissu, alivyo

WAKAFANYA kila aina ya kampeni mpaka huko bunge la Ulaya ninaacha kujadili mamboyao waklawa wanasema linajadili mambo ya Lissu blah blah .. Wakaendelea kufanya porojo za ooh Lissu, anatoa shule ya sheria mara ooh sijui anataka kupewa sumu na ujinga mwingi sana..

LAKINI mwisho wa siku akakutwa ana kesi ya kujibu.. Yaani yale mashtaka aliyokuwa anayadharau na kusema hana kesi yoyote akajikuta ana kesi ya kujibu na akalazimika kuanza kuleta mashahidi waliokuwa wanaongelea sijui mambo ya pilau linanukia na bumunda Heche lenyewe halijui kila kitu yaani..

Lissu, akajifanya kuita mashahidi sijui DCI,IGP na CDF na alikuwa anajua kuwa hawa hawatakuja kwenye kesi yake na apate sasa kuchonga ngenga sana kuhusu serikali LAKINI sasa Kingai anayemtaka anakwenda kutoa ushahidi..

ANGALIZO kwa Lissu ni kuwa watakachoongea mashahidi wako kinatakiwa kiwe na lengo la kukuondoka kwenye hatia inayokukabili na kinyume chake maana yake watakushindilia jiti uzame kabisa na hilo siyo tatizo la DPP au Mahakama kwa kuwa hawa ni mashahidi wako wewe...

Lissu alikuwa anajaribu kuwabipu watu na sasa wamempigia simu na sasa ana kazi ya kupokea na kuijibu..

WAHENGA waliposea MZAHA MZAHA HUTUMBUA USAHA hawakuwa wamekosea walijua kuna majitu kama Lissu yanaleta mizaha ambayo mwisho wa siku inakuja kuwa USAHA kweli kweli..

Lissu, kaa ukijua kuwa mashahidi wako wana kazi ya kukusaidia kukuondoa kwenye tuhuma ambazo zinakukabili.. Hatutaki drama mahakamani pale mashahidi wako watakapo kuwa "hostile"

MWISHO ni kuwa ulikuwa umezoea sana kuchezea dola miaka mingi sana sasa hivi utajua nini maana ya dola na dola haichezewi na kuletewa utani wako wa kipuuzi


Ritz, hivi unaamini kabisa mtu mmoja anaweza kuipindua serikali?

Vv
 
😁 sasa shahidi wake mwenyewe anakataa kutoa ushahidi mnalalamika? Hivi nyie watu mna akili sawa sawa kweli?
 
Back
Top Bottom