Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

For this mdau you are totally wrong...
I disagree completely with your thread...
You may not know; but what else can you expect from an idiot like him?

It is possible you're unaware who the so called "mdau" is and what he stands for.
 
Namtaka huyu ofisa kiherehere kwenye kizimba leo
 
Attachments

  • HSbtfpFXAAAqKQd.jpg
    HSbtfpFXAAAqKQd.jpg
    139.6 KB · Views: 9
Tanzania ina watu wa hovyo sana wanaojiita wanaharakati sasa dini yangu imeengiaje hapa si mlikuwa mnashangilia kuwa Lissu, atawafundisha sheria kiko wapi?
Wewe ulitaka awafundishe zaidi ya alivyokwishafanya hadi sasa?
Wewe unahudhuria au unapata habari za mahakamani toka vyanzo vipi?
Inawezekana unapopatia taarifa zako ndiko kunakokufanya uonekane kuwa kama juha hapa.
 
Wanaukumbi.

LISSU ALIKUWA HAJUI KUWA ANACHEZA NA MOTO📌

INAWEZEKANA KABISA Bwana Lissu alikuwa hajui kuwa anacheza na moto au alikuwa anacheza na watu wako siriazi na mambo haya mpaka alipojikuta ana kesi ya kujibu..

Lissu, alianza kuidogosha hii kesi yake na kujifanya ni kesi nyepesi na alifanikiwa kuwaaminisha nyumbu wake wa UFIPA mpaka wakawa wanakusanyika pale Kisutu na kula ubwabwa mara sijui ana mawakili 300 kwa ajili ya kumtetea mpaka siku aliyosomewa commital..

HUKO Kistu alifanya kila aina ya vibweka ikiwemo kulazimisha kesi iwe inarushwa live akidhani hilo ni jambo litamsaidia sana kwenye kesi yake lakini alikuwa hawajui vizuri watanzania kuwa wanachoka haraka sana kwenye mambo haya

KESI ikaenda mahakama kuu akaanza kwa mbwembwe sana na kudogosha mawakili wa serikali kuwa hakuna kesi pale na mengine mengi ya aina hiyo ambayo yanaongewanga na watu wagonjwa wa akili kama Lissu, alivyo

WAKAFANYA kila aina ya kampeni mpaka huko bunge la Ulaya ninaacha kujadili mamboyao waklawa wanasema linajadili mambo ya Lissu blah blah .. Wakaendelea kufanya porojo za ooh Lissu, anatoa shule ya sheria mara ooh sijui anataka kupewa sumu na ujinga mwingi sana..

LAKINI mwisho wa siku akakutwa ana kesi ya kujibu.. Yaani yale mashtaka aliyokuwa anayadharau na kusema hana kesi yoyote akajikuta ana kesi ya kujibu na akalazimika kuanza kuleta mashahidi waliokuwa wanaongelea sijui mambo ya pilau linanukia na bumunda Heche lenyewe halijui kila kitu yaani..

Lissu, akajifanya kuita mashahidi sijui DCI,IGP na CDF na alikuwa anajua kuwa hawa hawatakuja kwenye kesi yake na apate sasa kuchonga ngenga sana kuhusu serikali LAKINI sasa Kingai anayemtaka anakwenda kutoa ushahidi..

ANGALIZO kwa Lissu ni kuwa watakachoongea mashahidi wako kinatakiwa kiwe na lengo la kukuondoka kwenye hatia inayokukabili na kinyume chake maana yake watakushindilia jiti uzame kabisa na hilo siyo tatizo la DPP au Mahakama kwa kuwa hawa ni mashahidi wako wewe...

Lissu alikuwa anajaribu kuwabipu watu na sasa wamempigia simu na sasa ana kazi ya kupokea na kuijibu..

WAHENGA waliposea MZAHA MZAHA HUTUMBUA USAHA hawakuwa wamekosea walijua kuna majitu kama Lissu yanaleta mizaha ambayo mwisho wa siku inakuja kuwa USAHA kweli kweli..

Lissu, kaa ukijua kuwa mashahidi wako wana kazi ya kukusaidia kukuondoa kwenye tuhuma ambazo zinakukabili.. Hatutaki drama mahakamani pale mashahidi wako watakapo kuwa "hostile"

MWISHO ni kuwa ulikuwa umezoea sana kuchezea dola miaka mingi sana sasa hivi utajua nini maana ya dola na dola haichezewi na kuletewa utani wako wa kipuuzi

Moto gani khuma nyie mnatumia vyombo vya dola kwa maslahi yenu binafsi na wala si maslahi ya wananchi wala taifa?
 
hakujua kivipi shehe mbona mihemko,Lissu anaingia kwenye kampeni anajua anafanya nini anategemea nini na yupo tayari kwa lipi na lipi,kitu usichokijua toka kwa lissu ni mtu asietia huruma kwa mamlaka asieonba msaada asiejal mamlka unampitisha wapi,asingekua tayari asingeweza kuvumilia muda wote huu waliomuweka ndani,asingekua na afya nzuri hivi asingekua na hili tabasamu ni mtu wa kipekee,nyie mnaogopa mtaona kuwa lissu amejikoroga
 
Mkuu nakukubali sana ktk jukwaa la kimataifa, huku sikukubali, maana jukwaa la kimataifa nakuona sana unapambania wanaonewa kama GAZA au wairan dhidi ya US. Huku nakuona tafauti
......
Wala chuki ya watu fulani isikufanyeni mkavuka mipaka. Fanyeni uadilifu; huo ndio ulio karibu zaidi na uchamungu.”
— Qur’an 5:8
Kumbe kuna kobazi wenye akili.
 
Mwizi huyo lazima akomae kuwamaliza watu wanaotibua Ufisadi wao.

Usione yuko biased hapo anatetea wizi wake na wazee wenzie wa kule Lumumba.
 
Wewe unashangilia tu kama ushabiki wa Simba na Yanga. Ungekuwa na upeo hata kidogo wa Sheria usingeandika maneno yote haya kama ulivyoandika.
In short hii kesi hata kufika hapo ilipofika ni kwa nguvu kutoka nje ya mahakama.
Nikukumbushe tu kuwa hata kabla kesi haijawa committed kwenda high court akina katuga walishakubali kuwa wamechemka na walikuwa tayari kuanza upya. Ikapelekwa mbele hivyo hivyo
Kwani sababu gani wametoa Majaji mpaka wakamkuta na kesi ya kujibu
 
Mkuu nakukubali sana ktk jukwaa la kimataifa, huku sikukubali, maana jukwaa la kimataifa nakuona sana unapambania wanaonewa kama GAZA au wairan dhidi ya US. Huku nakuona tafauti
......
Wala chuki ya watu fulani isikufanyeni mkavuka mipaka. Fanyeni uadilifu; huo ndio ulio karibu zaidi na uchamungu.”
— Qur’an 5:8
Usichanganye mambo acha kabisa kutumia Aya za Quran pasipo mahala pake.

Naomba nikuulize wewe ulitaka Rais Mama Samia aondolewe madarakani kwa machafuko? Lissu, anachokutana nacho na haki yake mtu anasema wazi watakaakisha uchaguzi haufanyiki Oct 29 na wataamasisha uasi sasa wewe kauli kama hzi ndiyo zimesababisha yaliotokea Oct 29.

Shida hapa ni Rais Muislam hawa wagalatia wana chuki kubwa Uislam wake ndiyo maana wanahamishana huko Makanisani kina Gwajima, Mapadri wa Katoliki chuki zai zipo wazi walikuwa wanataka kumuondoa Rais madarakani wewe huenda hujui lolote umepanda basi hujui safari yake ngoja nikufahamishe.

Umeishajiuliza kwa nini Oct 9 mali za Waislam ndiyo ziliharibiwa mfano Mabasi ya Ratco bus, Tawakal bus, Aboud bus, Tahamid bus, unachoma Ratco bus pembeni kuna BM kuna Marungu Bus na makampuni mengine hayaguswi.

Unachoma vituo vya mafuta vya Waislam Oil Com, Lake Oil, Olimpiyo vituo vya Wakirsto hamna kilichoguswa unadhani hili lilifanyika kwa bahati mbaya.
 
Mwizi huyo lazima akomae kuwamaliza watu wanaotibua Ufisadi wao.

Usione yuko biased hapo anatetea wizi wake na wazee wenzie wa kule Lumumba.
Lini tena utaenda kuchoma vituo vya mwendokasi?
 
hakujua kivipi shehe mbona mihemko,Lissu anaingia kwenye kampeni anajua anafanya nini anategemea nini na yupo tayari kwa lipi na lipi,kitu usichokijua toka kwa lissu ni mtu asietia huruma kwa mamlaka asieonba msaada asiejal mamlka unampitisha wapi,asingekua tayari asingeweza kuvumilia muda wote huu waliomuweka ndani,asingekua na afya nzuri hivi asingekua na hili tabasamu ni mtu wa kipekee,nyie mnaogopa mtaona kuwa lissu amejikoroga
NIMEMSIKIA Bwana Heche analalamika sana kuwa kuna mipango ya kuwakamata kuhusiana na matukio ya 29 Oktoba 2026.

YAANI ambacho Heche haelewi ni kitu gani sasa? Haelewi kuwa alikuwa anapanga vurugu za yale yaliyotokea? Yaani hakumbuki kama alikuwa anafanya vikao na kugawa hela alizozipokea na kuzifuata kupitia Esebania poat kwa ajili ya vurugu zile?

YAANI ambacho haelewi ni kitu gani haswa? Yaani hakumbuki alichohojiwa akiwa kituo cha polisi kule Dodoma na Oysterbay ?

HECHE na wenzajo mjiandae kisaikolojia hamtaachwa wala hamtaogopwa. Yaani mtashtakiwa tu mtake msitake.

NDIYO maana fiscal agent wenu Maria aliyekuwa anawapokelea hela za kufanya mapinduzi yale alipoona mambo yameharibika akaamua kukimbilia kwao Hungury maana anajua kinachofuata. Ndiyo maana katelekeza manyumbu wenu walioko Nairobi wanahaha tu hawajui wafanye nini mpaka sasa!..
 
Usichanganye mambo acha kabisa kutumia Aya za Quran pasipo mahala pake.

Naomba nikuulize wewe ulitaka Rais Mama Samia aondolewe madarakani kwa machafuko? Lissu, anachokutana nacho na haki yake mtu anasema wazi watakaakisha uchaguzi haufanyiki Oct 29 na wataamasisha uasi sasa wewe kauli kama hzi ndiyo zimesababisha yaliotokea Oct 29.

Shida hapa ni Rais Muislam hawa wagalatia wana chuki kubwa Uislam wake ndiyo maana wanahamishana huko Makanisani kina Gwajima, Mapadri wa Katoliki chuki zai zipo wazi walikuwa wanataka kumuondoa Rais madarakani wewe huenda hujui lolote umepanda basi hujui safari yake ngoja nikufahamishe.

Umeishajiuliza kwa nini Oct 9 mali za Waislam ndiyo ziliharibiwa mfano Mabasi ya Ratco bus, Tawakal bus, Aboud bus, Tahamid bus, unachoma Ratco bus pembeni kuna BM kuna Marungu Bus na makampuni mengine hayaguswi.

Unachoma vituo vya mafuta vya Waislam Oil Com, Lake Oil, Olimpiyo vituo vya Wakirsto hamna kilichoguswa unadhani hili lilifanyika kwa bahati mbaya.
Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi madhubuti wa uadilifu, mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, hata kama ni juu ya nafsi zenu, au wazazi wawili na jamaa.”
Qur’an 4:135

Ijumaa lkareem sheikh au Ukhti
 
Maelezo mengi, unajiona umeandika Point kumbe Mihemko tu, kuwa na kesi ya kujibu sio kuwa na hatia, wangapi wamekua na kesi ya kujibu lakini wameshinda kesi. Kuhusu kujitetea sio lazima mashahidi wote wafike, mwenye jukumu la kuthibitisha pasipokuacha shaka ni Jamhuri sio Lissu . Hii kesi ni ya kisiasa.
 
Tanzania ina watu wa hovyo sana wanaojiita wanaharakati sasa dini yangu imeengiaje hapa si mlikuwa mnashangilia kuwa Lissu, atawafundisha sheria kiko wapi?
Daah,kumbe wewe jamaa hupo?
 
hakujua kivipi shehe mbona mihemko,Lissu anaingia kwenye kampeni anajua anafanya nini anategemea nini na yupo tayari kwa lipi na lipi,kitu usichokijua toka kwa lissu ni mtu asietia huruma kwa mamlaka asieonba msaada asiejal mamlka unampitisha wapi,asingekua tayari asingeweza kuvumilia muda wote huu waliomuweka ndani,asingekua na afya nzuri hivi asingekua na hili tabasamu ni mtu wa kipekee,nyie mnaogopa mtaona kuwa lissu amejikoroga
Kweli Lissu anachakupoteza maana anajua maisha yake yalivyokua baada ya kupigwa risasi .Kwahiyo yupo tayari kwa chochote .. sasa mtu wa hivyo nawe unaweza kumuacha ila ukafanya njia yoyote asijekufanya mambo yanayoweza kuharibu jamii.
 
Hivi kwa nini Chadema wana chuki sana na Waislam?

Ni ngumu sana kutofautisha Kanisa na Chadema.
We jamaa kweli ni bwege sana, kichwa chako hakina uwezo hata kidogo kuchaka mambo. 🗑️ 🚮 🚮 🗑️ 🚮
 
Back
Top Bottom