Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

HUKO Kistu alifanya kila aina ya vibweka ikiwemo kulazimisha kesi iwe inarushwa live akidhani hilo ni jambo litamsaidia sana kwenye kesi yake lakini alikuwa hawajui vizuri watanzania kuwa wanachoka haraka sana kwenye mambo haya
Waliotaka iwe Live ili Wananchi wasiende Mahakamani ni serikali, baadae wakagundua wanaumbuka wanarudisha face to face ila wakaka na mbinu ya kupunguza idadi ya wahudhuriaji, kiufupi Lissu kawahangaisha Sana, Mahakama, serikali, vyombo bado bunge
 
And this is what takes chakademus out of line… Hawa wazungu meant nothing kwa domokrasia yetu

Hizi nishani apewe na waTanzania

Na hadi leo hata nyie chakandumuz hamjampa hata ngao ya uvumilivu na ushujaa

Hivi nani ni strategist wenu?
Yaani mtu anayeteka, kuua, kuficha maiti, kufira innocent civilians na kuiba rasilimali ndiyo awape wapambania democracy ngao ya uvumilivu. Have you forgotten to take your mental illness dosage lately?
 
Fisadi mpaka leo mmeshindwa kuthibitisha uhaini.

Nenda nchi zenye kesi ya uhaini utakuta kundi la wanajeshi kama washtakiwa, mamluki, depot za silaha , mabomu na risasi, ramani za ikulu, bunge na kambi za jeshi kama vielelezo

Nyie hapo tunasikia jezi za Arsenal, kadi za trekta na gari, hoteli ya milioni 1 Dubai na video ya YouTube ya Jambo TV.

Hatua mtakayofuata nu kusema rasta alizosokota Lissu zinamtisha Bi kidude .

Uzezeta wa kiwango cha juu kabisa ndio manaa hata hiyo kesi hamkubali iwe live streamed YouTube maana dunia itaona uoumbavu wenu kwa uwazi kabisa
 
Hakuna kesi hapo bali ni maagizo ambayo kwa Lisu ni sisi tunaojutambua tunajua ni kukomoa. Ni mtu mjinga tu anaweza kusema hapo kuna kesi zaidi ya maagizo.
 
Hujuaji mwingi huku mitandaoni wanatujaza vifungu kibao ila mbele ya katuga sijui vifungu vinapoteleaga wapi! Yani kama katuga asingekuwepo wangetudanganya sana.
Ukitaka kujua huyo Katuga ni mtu kama watu wasemavyo, mpeleke kwenye mahakama zisizopokea maagizo kisha uje ulete mrejesho.
 
Huyu Ustadh mwenzako bila shaka hao watu wa Gaza na Iran wangekuwa ni Wagalatia wanakunyugwa na Kobaz angeshangilia
 
Abduli nasikia anampenzi wake wake wa jinsia moja hapa ambaye ni chawa je ni wewe au unakanusha
hivi kibaraka mchumba wake ndio David McAlister wa EU, right?🐒
 

Attachments

  • 550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    218 KB · Views: 9
Greetings in the name jah rastafaraiiiiiii,ever living,ever faithful,ever sure.
 
Kiufupi mwamba kajipiga dole kisha kanusa mwenyewe
 
Tanzania ina watu wa hovyo sana wanaojiita wanaharakati sasa dini yangu imeengiaje hapa si mlikuwa mnashangilia kuwa Lissu, atawafundisha sheria kiko wapi?
Wewe tunakujua ni mtu wa hovyo. Ikulu akikaa muislam wewe roho kwatuuuu huna maneno. Akiingia mkristu unabadili gear unaanza kulalama humu.
 
Yaani mtu anayeteka, kuua, kuficha maiti, kufira innocent civilians na kuiba rasilimali ndiyo awape wapambania democracy ngao ya uvumilivu. Have you forgotten to take your mental illness dosage lately?
Umesoma na mhemuko

Wanachadema na wanademokrasia wanaweza kutoa hiyo nishani

Tuliza jazba utakua mtu muelewa sana

Serikali yetu Haina hizo nishani…. The most you can get ni za jeshi au mei mosi
 
Unapoandika kwa mihemko, hao maboss wote watatu waliomba udhuru wako nje ya nchi, usimchukulie poa, si umeona askari walivyoona kizimba cha moto, huyo Katuga kafundishwa somo hapo anaomba kesi iishe tu apumzike
 
Mzee mbona upo kama zezeta la kizimkazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…