LIssu alikuwa kiongozi wa Chama cha Wanasheria wa Mazingira (LEAT), kimekufa baada ya Lissu na Nshala kufanya ubadhirifu, ndio apewe CHADEMA?

Kumbe zile harakati zake migodini ilikuwa analipwa na wafadhili!! 🤔
 
Kumbe zile harakati zake migodini ilikuwa analipwa na wafadhili!! 🤔
Kalipwa fedha nyingi sana, sawa na Deogratius Kibamba wa jukwaa la katiba, baada ya serikali kusitisha mchakato, kala hela zote kisha akaua taasisi, sasa haina nguvu
 
Chama cha wanasheria kina hela gani boss, au ni chama cha wauza unga nini?
 
Chama cha wanasheria kina hela gani boss, au ni chama cha wauza unga nini?
Walikuwa nazo nyingi sana, nadhani hata nyumba yake aliijenga kwa kutegemea wizi wa hela za LEAT
 
Kama Lisu wa Leo ni dhaifu kiasi hiki,basi CHADEMA ni dhaifu mara 1000 ya Lisu,haiwezekani wala haiingi akili hata kwa mtoto mdogo kuona kwamba mtu alieaminiwa kuwa anafaa kuwa Raisi,akawaikilisha CHADEMA,leo aonekane hawezi kuongoza.
Wapinzania waliseme tena CCM kuwa inawaibia,bali wapinzani wa aina ya hizi hoja wanadhirisha kuwa CCM inashinda kwa kihalali kwa sababu upinzani huchagua watu dhaifu.
Bora kusema tu kwa sasa Lisu hatakiwi lakini siyo kwamba anaweza kuleta madhara kama haya yaliyoandikwa hapo,au ndo upinzani walikuwa wanataka kuuzia watanzania mbuzi kwenye gunia.
 
Hizi taarifa zilikuwa hazijaibuka hadharani
 
Za kuambiwa ……..
 

Attachments

  • IMG_4986.jpeg
    124.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…