Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa Makamu Mwenyekiti, baada ya kupata Uenyekiti kimyaa

Kwa lengo kumtoa mbowe sio ccm? Dah
 
Hata kama atakuta huko ofisini mwanachama hai ni yeye peke yake furaha yetu ni kuona Mbowe na team yake waliotawala miongo 2 plus wameondoka basi. Hayo mengine tumuachie yule mkulima wa bamia kule kijijini Mbutu Block E.
Kwa hiyo ndio sera ya Lisu hiyo na timu yake? Mnasikitisha sana

Kwa hiyo Lisu atakuwa mwenyekiti kwa muda gani?
 
Kijamaa kiongo wewe hatari!
 
Hakuna kiongozi wa jumuiya yoyote halali Tanzania aliye kinyume na utawala. Nililisema hili hata kwa Mwambukusi.

Uongozi ni dhamana kubwa na ngumu sana kuitendea kazi, sababu mifumo inasomana na ndio uzuri wetu.
Uko sahihi
 
Tatizo la vijana wa siku hizi ni wakurupukaji sana umapenda trend tu wala sio hoja. Lissu yupo serious sio mambo ya utani na anapanga sera na Chama chake. Sasa ni kiongozi wa taasisi muda wa kampeni umeisha kuwa muongeaji wa chama na yeye ataenda kuongea na watanzania akikamilisha agenda. Sio kila siku atakuwa kwenye media bila sababu. wakati ule ilikuwa kampeni sasa akienda kwenye media ni sera za nchi
 
Naona kila mtu anaamua tu kuandika kile kinachompa furaha hata kama hajui kitu chochote juu ya kile anachoandika. Cha msingi ni kufurahisha fuvu na moyo.
 
Unamsikia Mwabukusi? Kelele zilikuwa njaa ya pesa na ya madaraka. Angepata urais je?
 
Jikuma la ccm ww ulitaka aongee nn zaidi ya kujipanga na mikakati ya kuwamaliza majizi ya taifa hili
 
Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa makamu mwenyrkiti ,baada ya kupata uenyekiti kimyaa. Uenyekiti sio lelemama alidhani lelemama.
Lissu ni yule yule acheni Propaganda zenu.
 
We umexipata wp hz hbr kama sio umbea
 
Si mmesema anaongea sana mpaka mkashauri media zisimrekodi live ziwe zinafanya edit ndio zilirushe hewani kwa hofu ya kuogopa kufungiwa, kisa tu lissu anaongea ukweli bila uthibitisho. Leo mtanataka aongee!?
 
Wewe ni takataka.

Ni majuzi tu hapa mlisema Lissu anaongea sana!

Takataka msiojitambua
 
Utakuwa ni bonge la kiazi, kama amekuta hakuko sawa yeye kosa lake ni nini?
 
Labda media ndiyo hazimtafuti tena!

Huwa si mchoyo wa kuongea/kutoa maoni! 😄
 
Kama unampenda sana Mbowe nenda kaishi naye. Mkubali kuwa TL ndiye Mwenyekiti wa CDM hutaki tumia gunzi.lakini Mbowe mnaye kwa nini msiendelee naye tu muite Mwenyekiti wa Familia yako badala ya kumuitwa mpendwa mwite Mwenyekiti maana nyie si ndo mnakuwa viti vyake?😁

Kuna wakati wa kuongea na wakati wa kunyamaza. Kuna wakati wa kulia na wakati wa kucheka. Kila jambo na wakati wake. Kama unampenda sana Mbowe ongea naye muishi wote kama mkewe atakukubalia. Ili uendelee ku enjoy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…