Na kutoa pesa yake mfukoni mgumu, halafu eti ndie mwenyekiti wa upinzaniAmekuta mambo ni mbombongavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kutoa pesa yake mfukoni mgumu, halafu eti ndie mwenyekiti wa upinzaniAmekuta mambo ni mbombongavu
Kwa lengo kumtoa mbowe sio ccm? DahKwa hiyo kabla hajawa mwenyekiti alikuwa hajui idadi ya wanachama wakati alikuwa makamu mwenyekiti? Au unaumia Lissu kukabidhiwa ofisi na sio Mbowe? Hata kama atakuta huko ofisini mwanachama hai ni yeye peke yake furaha yetu ni kuona Mbowe na team yake waliotawala miongo 2 plus wameondoka basi. Hayo mengine tumuachie yule mkulima wa bamia kule kijijini Mbutu Block E.
Kwa hiyo ndio sera ya Lisu hiyo na timu yake? Mnasikitisha sanaHata kama atakuta huko ofisini mwanachama hai ni yeye peke yake furaha yetu ni kuona Mbowe na team yake waliotawala miongo 2 plus wameondoka basi. Hayo mengine tumuachie yule mkulima wa bamia kule kijijini Mbutu Block E.
Kijamaa kiongo wewe hatari!Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa makamu mwenyrkiti ,baada ya kupata uenyekiti kimyaa. Uenyekiti sio lelemama alidhani lelemama.
Kuna taarifa za ndani kuwa alichokikuta baada ya kukabidhiwa kiti hakuamini macho yake.
Kabla kushika kiti aliaminishwa kuwa Chadema ina wanachama milioni nane kumbe ilikuwa propaganda tu kufika ofisini kakuta takwimu zinaonyesha wako laki nne na waliolipia ada za mwaka ni elfu 2 tu ambao ndio wanachama hai wa Chadema.
Kwenye kikao cha makabidhiano kilichofanyika hotelini Bagamoyo Lissu aligoma katakata kuongea na waandishi wa habari akidai hicho ni kikao cha kazi hakihitaji waandishi wa habari tofauti na tabia yake alikuwa nayo akiwa makamu mwenyekiti ya kupenda media kila akiwepo ziwepo kuwa yeye anapenda uwazi wa chochote cha chama sababu chama ni cha wananchi sasa hivi kaanza kukimbia media.
Uko sahihiHakuna kiongozi wa jumuiya yoyote halali Tanzania aliye kinyume na utawala. Nililisema hili hata kwa Mwambukusi.
Uongozi ni dhamana kubwa na ngumu sana kuitendea kazi, sababu mifumo inasomana na ndio uzuri wetu.
Tatizo la vijana wa siku hizi ni wakurupukaji sana umapenda trend tu wala sio hoja. Lissu yupo serious sio mambo ya utani na anapanga sera na Chama chake. Sasa ni kiongozi wa taasisi muda wa kampeni umeisha kuwa muongeaji wa chama na yeye ataenda kuongea na watanzania akikamilisha agenda. Sio kila siku atakuwa kwenye media bila sababu. wakati ule ilikuwa kampeni sasa akienda kwenye media ni sera za nchiLissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa makamu mwenyrkiti ,baada ya kupata uenyekiti kimyaa. Uenyekiti sio lelemama alidhani lelemama.
Kuna taarifa za ndani kuwa alichokikuta baada ya kukabidhiwa kiti hakuamini macho yake.
Kabla kushika kiti aliaminishwa kuwa Chadema ina wanachama milioni nane kumbe ilikuwa propaganda tu kufika ofisini kakuta takwimu zinaonyesha wako laki nne na waliolipia ada za mwaka ni elfu 2 tu ambao ndio wanachama hai wa Chadema.
Kwenye kikao cha makabidhiano kilichofanyika hotelini Bagamoyo Lissu aligoma katakata kuongea na waandishi wa habari akidai hicho ni kikao cha kazi hakihitaji waandishi wa habari tofauti na tabia yake alikuwa nayo akiwa makamu mwenyekiti ya kupenda media kila akiwepo ziwepo kuwa yeye anapenda uwazi wa chochote cha chama sababu chama ni cha wananchi sasa hivi kaanza kukimbia media.
Naona kila mtu anaamua tu kuandika kile kinachompa furaha hata kama hajui kitu chochote juu ya kile anachoandika. Cha msingi ni kufurahisha fuvu na moyo.Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa makamu mwenyrkiti ,baada ya kupata uenyekiti kimyaa. Uenyekiti sio lelemama alidhani lelemama.
Kuna taarifa za ndani kuwa alichokikuta baada ya kukabidhiwa kiti hakuamini macho yake.
Kabla kushika kiti aliaminishwa kuwa Chadema ina wanachama milioni nane kumbe ilikuwa propaganda tu kufika ofisini kakuta takwimu zinaonyesha wako laki nne na waliolipia ada za mwaka ni elfu 2 tu ambao ndio wanachama hai wa Chadema.
Kwenye kikao cha makabidhiano kilichofanyika hotelini Bagamoyo Lissu aligoma katakata kuongea na waandishi wa habari akidai hicho ni kikao cha kazi hakihitaji waandishi wa habari tofauti na tabia yake alikuwa nayo akiwa makamu mwenyekiti ya kupenda media kila akiwepo ziwepo kuwa yeye anapenda uwazi wa chochote cha chama sababu chama ni cha wananchi sasa hivi kaanza kukimbia media.
Safi....hivyo wao ndiyo waache chokochoko...muda utasemaYupo busy kutekeleza ilani ya chama chake, ataibuka akikamilisha kazi..!!
Unamsikia Mwabukusi? Kelele zilikuwa njaa ya pesa na ya madaraka. Angepata urais je?Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa makamu mwenyrkiti ,baada ya kupata uenyekiti kimyaa. Uenyekiti sio lelemama alidhani lelemama.
Kuna taarifa za ndani kuwa alichokikuta baada ya kukabidhiwa kiti hakuamini macho yake.
Kabla kushika kiti aliaminishwa kuwa Chadema ina wanachama milioni nane kumbe ilikuwa propaganda tu kufika ofisini kakuta takwimu zinaonyesha wako laki nne na waliolipia ada za mwaka ni elfu 2 tu ambao ndio wanachama hai wa Chadema.
Kwenye kikao cha makabidhiano kilichofanyika hotelini Bagamoyo Lissu aligoma katakata kuongea na waandishi wa habari akidai hicho ni kikao cha kazi hakihitaji waandishi wa habari tofauti na tabia yake alikuwa nayo akiwa makamu mwenyekiti ya kupenda media kila akiwepo ziwepo kuwa yeye anapenda uwazi wa chochote cha chama sababu chama ni cha wananchi sasa hivi kaanza kukimbia media.
Lissu ni yule yule acheni Propaganda zenu.Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa makamu mwenyrkiti ,baada ya kupata uenyekiti kimyaa. Uenyekiti sio lelemama alidhani lelemama.
We umexipata wp hz hbr kama sio umbeaLissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa makamu mwenyrkiti ,baada ya kupata uenyekiti kimyaa. Uenyekiti sio lelemama alidhani lelemama.
Kuna taarifa za ndani kuwa alichokikuta baada ya kukabidhiwa kiti hakuamini macho yake.
Kabla kushika kiti aliaminishwa kuwa Chadema ina wanachama milioni nane kumbe ilikuwa propaganda tu kufika ofisini kakuta takwimu zinaonyesha wako laki nne na waliolipia ada za mwaka ni elfu 2 tu ambao ndio wanachama hai wa Chadema.
Kwenye kikao cha makabidhiano kilichofanyika hotelini Bagamoyo Lissu aligoma katakata kuongea na waandishi wa habari akidai hicho ni kikao cha kazi hakihitaji waandishi wa habari tofauti na tabia yake alikuwa nayo akiwa makamu mwenyekiti ya kupenda media kila akiwepo ziwepo kuwa yeye anapenda uwazi wa chochote cha chama sababu chama ni cha wananchi sasa hivi kaanza kukimbia media.
Wewe ni takataka.Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa makamu mwenyrkiti ,baada ya kupata uenyekiti kimyaa. Uenyekiti sio lelemama alidhani lelemama.
Kuna taarifa za ndani kuwa alichokikuta baada ya kukabidhiwa kiti hakuamini macho yake.
Kabla kushika kiti aliaminishwa kuwa Chadema ina wanachama milioni nane kumbe ilikuwa propaganda tu kufika ofisini kakuta takwimu zinaonyesha wako laki nne na waliolipia ada za mwaka ni elfu 2 tu ambao ndio wanachama hai wa Chadema.
Kwenye kikao cha makabidhiano kilichofanyika hotelini Bagamoyo Lissu aligoma katakata kuongea na waandishi wa habari akidai hicho ni kikao cha kazi hakihitaji waandishi wa habari tofauti na tabia yake alikuwa nayo akiwa makamu mwenyekiti ya kupenda media kila akiwepo ziwepo kuwa yeye anapenda uwazi wa chochote cha chama sababu chama ni cha wananchi sasa hivi kaanza kukimbia media.
Utakuwa ni bonge la kiazi, kama amekuta hakuko sawa yeye kosa lake ni nini?Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa makamu mwenyrkiti ,baada ya kupata uenyekiti kimyaa. Uenyekiti sio lelemama alidhani lelemama.
Kuna taarifa za ndani kuwa alichokikuta baada ya kukabidhiwa kiti hakuamini macho yake.
Kabla kushika kiti aliaminishwa kuwa Chadema ina wanachama milioni nane kumbe ilikuwa propaganda tu kufika ofisini kakuta takwimu zinaonyesha wako laki nne na waliolipia ada za mwaka ni elfu 2 tu ambao ndio wanachama hai wa Chadema.
Kwenye kikao cha makabidhiano kilichofanyika hotelini Bagamoyo Lissu aligoma katakata kuongea na waandishi wa habari akidai hicho ni kikao cha kazi hakihitaji waandishi wa habari tofauti na tabia yake alikuwa nayo akiwa makamu mwenyekiti ya kupenda media kila akiwepo ziwepo kuwa yeye anapenda uwazi wa chochote cha chama sababu chama ni cha wananchi sasa hivi kaanza kukimbia media.
Ilani ya chama bila kuweka mifumo sawa?Ilani ya chama anaitekeleza gizani?
Kama unampenda sana Mbowe nenda kaishi naye. Mkubali kuwa TL ndiye Mwenyekiti wa CDM hutaki tumia gunzi.lakini Mbowe mnaye kwa nini msiendelee naye tu muite Mwenyekiti wa Familia yako badala ya kumuitwa mpendwa mwite Mwenyekiti maana nyie si ndo mnakuwa viti vyake?😁Kikao alichofanya bagamoyo cha makabidhiano kwa nini aligoma kuongea na waandishi wa habari wakati yeye ndie mpinga usiri kwenye vitu vya chama akiwa makamu mwenyekiti? Anaficha nini kwani wakati akiwa makamu alisema mambo ya chama huhitaji uwazi hakuna cha kuficha wala siri ya kikao cha chama
Vyote vinatakiwa kuwekwa hadharani
Haya twende kazi ya kikao cha bagamoyo mbona kaufyata ?