LISSU alimruhusu HECHE kuendelea kupeleka Moto, nyinyi mnaojiita Viongozi CHADEMA

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kwamba nyinyi mnaofanya Porojo dhidi ya HECHE, mnajijua CHADEMA kuliko LISSU??.

Unakuta kajitu ni kakatibu ka BAVICHA huko matopeni, hawajawahi hata Kuona HECHE Uso kwa Uso, hakachangii hata Chama Wala tonetone, kanatoka mbele kanasema "HECHE Achunguzwee, anakula Pesa ".

Tutawashughulikia, CHADEMA sio Chama cha ujuha, Tumewarudisha, ili baadae mtuletee ushahidi .!!.
 
Maana yake nao wameuona moto wa Heche..kwasababu viji posho kutoka green flies vinawapalia..
 
Kwamba nyinyi mnaofanya Porojo dhidi ya HECHE, mnajijua CHADEMA kuliko LISSU??.

Unakuta kajitu ni kakatibu ka BAVICHA huko matopeni, hawajawahi hata Kuona HECHE Uso kwa Uso, hakachangii hata Chama Wala tonetone, kanatoka mbele kanasema "HECHE Achunguzwee, anakula Pesa ".

Tutawashughulikia, CHADEMA sio Chama cha ujuha, Tumewarudisha, ili baadae mtuletee ushahidi .!!.
Lissu sio Binadamu yule
 
Unakuta kajitu ni kakatibu ka BAVICHA huko matopeni, hawajawahi hata Kuona HECHE Uso kwa Uso, hakachangii hata Chama Wala tonetone, kanatoka mbele kanasema "HECHE Achunguzwee, anakula Pesa
We jamaa umeandika kama shabiki wa Yanga🤣🤣
 
kitendo cha wao kuwa na media kama tbc ,uhuru na co tiyari ni inshara ya ushuzi
 
Kwamba nyinyi mnaofanya Porojo dhidi ya HECHE, mnajijua CHADEMA kuliko LISSU??.

Unakuta kajitu ni kakatibu ka BAVICHA huko matopeni, hawajawahi hata Kuona HECHE Uso kwa Uso, hakachangii hata Chama Wala tonetone, kanatoka mbele kanasema "HECHE Achunguzwee, anakula Pesa ".

Tutawashughulikia, CHADEMA sio Chama cha ujuha, Tumewarudisha, ili baadae mtuletee ushahidi .!!.
Inasikitisha, baadhi yao wanatumwa na viongozi waliokimbilia chaumma n.k kuleta mafuriko ndani ya CDM .

Uzuri kila kitu cha Chadema kipo public na wananchi tunawazoom Tu.
 
Back
Top Bottom