Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Maana yake nao wameuona moto wa Heche..kwasababu viji posho kutoka green flies vinawapalia..Kwamba nyinyi mnaofanya Porojo dhidi ya HECHE, mnajijua CHADEMA kuliko LISSU??.
Unakuta kajitu ni kakatibu ka BAVICHA huko matopeni, hawajawahi hata Kuona HECHE Uso kwa Uso, hakachangii hata Chama Wala tonetone, kanatoka mbele kanasema "HECHE Achunguzwee, anakula Pesa ".
Tutawashughulikia, CHADEMA sio Chama cha ujuha, Tumewarudisha, ili baadae mtuletee ushahidi .!!.
Lissu sio Binadamu yuleKwamba nyinyi mnaofanya Porojo dhidi ya HECHE, mnajijua CHADEMA kuliko LISSU??.
Unakuta kajitu ni kakatibu ka BAVICHA huko matopeni, hawajawahi hata Kuona HECHE Uso kwa Uso, hakachangii hata Chama Wala tonetone, kanatoka mbele kanasema "HECHE Achunguzwee, anakula Pesa ".
Tutawashughulikia, CHADEMA sio Chama cha ujuha, Tumewarudisha, ili baadae mtuletee ushahidi .!!.
We jamaa umeandika kama shabiki wa Yanga🤣🤣Unakuta kajitu ni kakatibu ka BAVICHA huko matopeni, hawajawahi hata Kuona HECHE Uso kwa Uso, hakachangii hata Chama Wala tonetone, kanatoka mbele kanasema "HECHE Achunguzwee, anakula Pesa
Mbeleni huko, tutamtawaza kua 'mtakatifu'Lissu sio Binadamu yule
Tutawashughulikia tuUnakutana na viongozi wa chadema wapo na mic ya TBC, ahh hapo hata usiumize kichwa n upuuzi tuu
Watakatifu ni waafia Dini, yeye anafia siasaMbeleni huko, tutamtawaza kua 'mtakatifu'
Maisha ya Siasa ya Lissu, ni ibada tosha.Watakatifu ni waafia Dini, yeye anafia siasa
Inasikitisha, baadhi yao wanatumwa na viongozi waliokimbilia chaumma n.k kuleta mafuriko ndani ya CDM .Kwamba nyinyi mnaofanya Porojo dhidi ya HECHE, mnajijua CHADEMA kuliko LISSU??.