Lissu alipogombana na Magufuli alikuwa anawatetea Barrick Gold

Lissu alipogombana na Magufuli alikuwa anawatetea Barrick Gold

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Lissu alikuwa mwanaharakati maarufu aliyewatetea wanyonge. Alipata mafanikio makubwa Rufiji alipofanikiwa kumzuia mwekezaji tapeli asiwadhulumu ardhi wanavijiji wengi .

Halafu tena katika mgodi wa Bulyankhulu aliwatetea kwa mafanikio wachimbaji wadogo wengi waliokuwa wanaonewa.
Nineona ni vema nikumbushe historia ya huyu mtu ambaye amekuwa na impeccable credentials katika kutetea maslahi ya wanyonge.
 
Lissu alikuwa mwanaharakati maarufu aliyewatetea wanyonge.
Alipata mafanikio makubwa Rufiji alipofanikiwa kumzuia mwekezaji tapeli asiwadhulumu ardhi wanavijiji wengi .
Halafu tena katika mgodi wa Bulyankhulu aliwatetea kwa mafanikio wachimbaji wadogo wengi waliokuwa wanaonewa.
Nineona ni vema nikumbushe historia ya huyu mtu ambaye amekuwa na impeccable credentials katika kutetea maslahi ya wanyonge.
Weka huo utetezi hapa. Acha porojo
 
Lissu ni Wakili.. Na sheria inawakataza kubagua watu katika kazi zake.

Ndo maana Serikali hata Wauaji inawawekea Wakili.

Hoja yako haiwezi mchafua Lissu.. Kwa ufupi kwa akili hizo, huna cha kumsema Lissu.. Aiibu yako.
 
Kwa kusimamia Sheria ambazo Magufuli na Bunge la Tanzania Wana uwezo wa kuzibadilisha!

Leo ukitetea mwizi asiuwawe akiiba maana yake ni kwamba Sheria imeweka namna ya ku deal naye!

Kama mkibadili Sheria na kusema auwawe, hutamwona mtu anatetea mwizi!

Ishu ni utii wa makubaliano ambayo nchi imeyafanya, Ndo lisu anachopambania!
 
Lissu alikuwa mwanaharakati maarufu aliyewatetea wanyonge. Alipata mafanikio makubwa Rufiji alipofanikiwa kumzuia mwekezaji tapeli asiwadhulumu ardhi wanavijiji wengi .

Halafu tena katika mgodi wa Bulyankhulu aliwatetea kwa mafanikio wachimbaji wadogo wengi waliokuwa wanaonewa.
Nineona ni vema nikumbushe historia ya huyu mtu ambaye amekuwa na impeccable credentials katika kutetea maslahi ya wanyonge.

Kama wawekezaji walikuwa matapeli si ndiyo maana ya mahakama ? Uzalendo huu ni fake wa kijinga
 
Msitafute justification ya ujinga wenu kwa kumuingiza Magufuli..pambaneni na hali zenu.
 
Alikuwa anafanya kazi yake ya uwakili na alilipwa ndo maana akaanza kuwapigania Barrick walivyofika dau lake.
 
Back
Top Bottom