Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Weka huo utetezi hapa. Acha porojoLissu alikuwa mwanaharakati maarufu aliyewatetea wanyonge.
Alipata mafanikio makubwa Rufiji alipofanikiwa kumzuia mwekezaji tapeli asiwadhulumu ardhi wanavijiji wengi .
Halafu tena katika mgodi wa Bulyankhulu aliwatetea kwa mafanikio wachimbaji wadogo wengi waliokuwa wanaonewa.
Nineona ni vema nikumbushe historia ya huyu mtu ambaye amekuwa na impeccable credentials katika kutetea maslahi ya wanyonge.
Lissu alikuwa mwanaharakati maarufu aliyewatetea wanyonge. Alipata mafanikio makubwa Rufiji alipofanikiwa kumzuia mwekezaji tapeli asiwadhulumu ardhi wanavijiji wengi .
Halafu tena katika mgodi wa Bulyankhulu aliwatetea kwa mafanikio wachimbaji wadogo wengi waliokuwa wanaonewa.
Nineona ni vema nikumbushe historia ya huyu mtu ambaye amekuwa na impeccable credentials katika kutetea maslahi ya wanyonge.
Kwenye hii kesi yake nimeamini mwamba ni shida kayachabanga majangiri ya ccm mpaka yamechanganyikiwaTundu lissu ni mwamba sana.