Mbowe amefura kwa hasiraTundu anaenda na facts haijalishi ninani anayemzungumza, ameyaongea hayo anayoendelea kuongea ili kuiweka chadema mahali pazuri zaidi lakini kama mteja wenu Mbowe na wenje wakiendelea kuleta ubishi chadema ndio inaenda kujifia.
Jipu lazima lipasuliwe ili moyo utoke kidonda kipoe. Lissu yuko makini sana hoja zake ni nzuri sana na wanachama wa chadema wanaenda kumchagua tundu lissu kwa confidence, kama hamtamsaidia mbowe kuiba kura
Ongeza kipato uwe unasafiri kwa ndege, itakusaidia sana kupunguza ushamba wakoMagufuli ndiye alisaliti Watanzania kwa kununua ndege bila business plan.
Ndiyo maana mpaka keo ATCL imefungiqa kuingia n hi za Wurooean Union.
Ila kama wewe ngumbaru, huwezi kuelewa hili.
Unajuaje sijasafiri kwa ndege?Ongeza kipato uwe unasafiri kwa ndege, itakusaidia sana kupunguza ushamba wako
Mbowe ulilaniwa siku uliyoshangilia kifo cha Magufuli
Huwezi kusafiri kwa ndege alafu ukawa bado kilaza namna hiiUnajuaje sijasafiri kwa ndege?
Kutoka Dar mpaka New York City nimefikaje bila kusafiri kwa ndege?
Mimi nimepanda ndege kwenye cockpit na Captain Ulotu, Captain Mazula, na Captain Mazula mwingine, unawajua hao? Unajua wamerusha ndege mwaka gani? Unaijua ATC ya Makoi? Unaijua ATC ya Rwebangira?
Acha ku assume kila mtu analimbuka kupanda ndege kama wewe. Watu tumeanza kupanda ndege kabla hatujajua kuhesabu.
Huwezi kusafiri kwa ndege alafu ukawa bado kilaza namna hii
Kilaza mkubwa weweWewe hujui tofauti ya "halafu" na "alafu". Jifunze Kiswahili kwanza kabla ya kubishana nami.
Wewe hupo katika level ya kujadiliana na mimi kwa sababu kwanza unaona kusafiri kwa ndege ni kitu cha ajabu, halafu huelewi business plan ni nini.
Ndiyo maana nimekutajia hoja ya business plan mpaka sasa umeiruka kama hujaiona.
You are a cantankerous calcified cretin crawling cluelessly.
Straight to ignore list. Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.Kilaza mkubwa wewe
Ooh Mimi siko upande wowote mana Mungu ndo anajua ila wewe vipi utaenda mbinguni?Magufuli yule muuaji aliyeko motoni sasa hivi au mwingine?
Kumbe Magufuli alikuwa mwana harakati?Ukiambiwa dunia duara, au ukaambiwa malipo ni hapahapa duniani ukae uelewe na usibishe.
Wakati Tundu Lisu anasaliti harakati za rais wa awamu ya tano hayati Magufuli, Chadema walikenua meno na kushangilia.
Wakati Lisu anasaliti taifa na kushangilia kukamtwa kwa ndege ambazo zimenunuliwa kwa kodi za Watanzania, Chadema walikenua meno na kushangilia kwa nguvu!
Wahenga walishasema muda ni mwalimu mzuri sasa Tundu Lisu amerudi kusaliti na kuibomoa Chadema na Mbowe.
Freeman Mbowe sasa yuko tumbo joto baada ya Tundu Lisu kuzunguka nchi nzima akimnanga kuwa alipokea hela za Abdul na kuzisamabaza kama rushwa.