Lissu alipomsaliti Magufuli CHADEMA mlishangilia, zamu yenu sasa

Lissu alipomsaliti Magufuli CHADEMA mlishangilia, zamu yenu sasa

Tundu anaenda na facts haijalishi ninani anayemzungumza, ameyaongea hayo anayoendelea kuongea ili kuiweka chadema mahali pazuri zaidi lakini kama mteja wenu Mbowe na wenje wakiendelea kuleta ubishi chadema ndio inaenda kujifia.

Jipu lazima lipasuliwe ili moyo utoke kidonda kipoe. Lissu yuko makini sana hoja zake ni nzuri sana na wanachama wa chadema wanaenda kumchagua tundu lissu kwa confidence, kama hamtamsaidia mbowe kuiba kura
Mbowe amefura kwa hasira
 
Magufuli ndiye alisaliti Watanzania kwa kununua ndege bila business plan.

Ndiyo maana mpaka keo ATCL imefungiqa kuingia n hi za Wurooean Union.

Ila kama wewe ngumbaru, huwezi kuelewa hili.
 
Magufuli ndiye alisaliti Watanzania kwa kununua ndege bila business plan.

Ndiyo maana mpaka keo ATCL imefungiqa kuingia n hi za Wurooean Union.

Ila kama wewe ngumbaru, huwezi kuelewa hili.
Ongeza kipato uwe unasafiri kwa ndege, itakusaidia sana kupunguza ushamba wako
 
Ongeza kipato uwe unasafiri kwa ndege, itakusaidia sana kupunguza ushamba wako
Unajuaje sijasafiri kwa ndege?

Kutoka Dar mpaka New York City nimefikaje bila kusafiri kwa ndege?

Mimi nimepanda ndege kwenye cockpit na Captain Ulotu, Captain Mazula, na Captain Mazula mwingine, unawajua hao? Unajua wamerusha ndege mwaka gani? Unaijua ATC ya Makoi? Unaijua ATC ya Rwebangira?

Acha ku assume kila mtu analimbuka kupanda ndege kama wewe. Watu tumeanza kupanda ndege kabla hatujajua kuhesabu.
 
Huwezi kusafiri kwa ndege alafu ukawa bado kilaza namna hii
 
Huwezi kusafiri kwa ndege alafu ukawa bado kilaza namna hii

Wewe hujui tofauti ya "halafu" na "alafu". Jifunze Kiswahili kwanza kabla ya kubishana nami.

Wewe hupo katika level ya kujadiliana na mimi kwa sababu kwanza unaona kusafiri kwa ndege ni kitu cha ajabu, halafu huelewi business plan ni nini.

Ndiyo maana nimekutajia hoja ya business plan mpaka sasa umeiruka kama hujaiona.

You are a cantankerous calcified cretin crawling cluelessly.
 
Utawala ambao ulimshindwa kwenye hoja ukaamua kutaka kumuua?, kama walikuwa sahihi walishindwaje kumkamata na kumfungulia kesi?
 
Wewe hujui tofauti ya "halafu" na "alafu". Jifunze Kiswahili kwanza kabla ya kubishana nami.

Wewe hupo katika level ya kujadiliana na mimi kwa sababu kwanza unaona kusafiri kwa ndege ni kitu cha ajabu, halafu huelewi business plan ni nini.

Ndiyo maana nimekutajia hoja ya business plan mpaka sasa umeiruka kama hujaiona.

You are a cantankerous calcified cretin crawling cluelessly.
Kilaza mkubwa wewe
 
Lisu: Mbowe ni muongo sana
 
Wewe uko delusional sana Lissu alimsaliti Magufuli wapi?

Lissu ndio alikuwa anampenyezea mafile Kigogo ?

Waliomzunguka Magufuli ni watu aliokuwa akikaa nao na hao ndio wamefunguka alichomfanya Ben na habari za kwenda kwa mama Abdul na pyjama.

Idiot!
 
Ukiambiwa dunia duara, au ukaambiwa malipo ni hapahapa duniani ukae uelewe na usibishe.

Wakati Tundu Lisu anasaliti harakati za rais wa awamu ya tano hayati Magufuli, Chadema walikenua meno na kushangilia.

Wakati Lisu anasaliti taifa na kushangilia kukamtwa kwa ndege ambazo zimenunuliwa kwa kodi za Watanzania, Chadema walikenua meno na kushangilia kwa nguvu!

Wahenga walishasema muda ni mwalimu mzuri sasa Tundu Lisu amerudi kusaliti na kuibomoa Chadema na Mbowe.

Freeman Mbowe sasa yuko tumbo joto baada ya Tundu Lisu kuzunguka nchi nzima akimnanga kuwa alipokea hela za Abdul na kuzisamabaza kama rushwa.
Kumbe Magufuli alikuwa mwana harakati?
 
Back
Top Bottom