Uchaguzi 2020 Lissu alipowasili Mwanza aliahirisha kuzungumza alichokua amepanga baada ya kupata idadi ndogo wananchi

Msikilize alivyoshangaa na wewe unisaidie kushangaa. Sijui yeye alitegemea kukuta nini
Mbona wamejieleza wenyewe hapo kuwa hakukuwa na taarifa ya mapema, afterall amepita asbuhi sana hapo ila nadhani wote tumeona mchana pale Busega alivyopata watu wengi na safari nzima hadi Tarime.

Akipata watu ooh mafuriko hayana kura, akisuprise watu ooh amechokwa!! Sasa kivp akataliwe Mwanza alafu akubalike porini huko Busega na Magu? Hata Logic inakataa.
 
Nimemskia anataja idadi ya watu aliokutana nao ktk maeneo mengine. Kwani anafuata wadhamini au kujaza watu ( nyomi )?

Na je anajua nyomi ni kokoro tu wanaenda wapiga kura na wasiopiga kura?, Pia wapo wapiga kura wake na wasio wake pia, wapo wachangamkia fursa (wafanya bishara ndogondgo) wanaozunguka kufuata walaji.

So asipende kujidanganya kwa wingi wa watu. Bado mdogo sana kisiasa huyu mwanasheria machachari asie na nidhamu kwa wenzake.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Umepagawa

Umepagawa?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mataga wa kijani kibichi toka Lissu arudi mnahangaika kweli maskini hata kujenga hoja mmeshindwa mmebaki mnatapatapa kama Jecha na Jechaism yake.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Busega siyo Jiji la Mwanza
Mbona wamejieleza wenyewe hapo kuwa hakukuwa na taarifa ya mapema, afterall amepita asbuhi sana hapo ila nadhani wote tumeona mchana pale Busega alivyopata watu wengi na safari nzima hadi Tarime.

Akipata watu ooh mafuriko hayana kura, akisuprise watu ooh amechokwa!! Sasa kivp akataliwe Mwanza alafu akubalike porini huko Busega na Magu? Hata Logic inakataa.
 
Akipata watu, mnasema amewanunua au ni mamluki wa ccm wamejivika magwanda!
...akikutana na watu wawili mnasema hali mbaya!
Tuwaeleweje nyie mataga? Mnataka nini...!?
Btw subirini mtakipata mnachokitafuta!!
Hawa machoco sio wa kubishana nao, watakupa headache
 
Back
Top Bottom