mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Sasa ulisimama hapo kufanya NINI? Wacha mbinu za zamani za kukwepa uhalisia wa mambo. Na huo ni mwanzo tu.Mwanza kunani
View attachment 1536820
Kweli kabisa kinachotafutwa kitapatikana tuuAkipata watu, mnasema amewanunua au ni mamluki wa ccm wamejivika magwanda!
...akikutana na watu wawili mnasema hali mbaya!
Tuwaeleweje nyie mataga? Mnataka nini...!?
Btw subirini mtakipata mnachokitafuta!!
Kumbe na nyie wanasombwa na maloriMbona wamejieleza wenyewe hapo kuwa hakukuwa na taarifa ya mapema, afterall amepita asbuhi sana hapo ila nadhani wote tumeona mchana pale Busega alivyopata watu wengi na safari nzima hadi Tarime.
Akipata watu ooh mafuriko hayana kura, akisuprise watu ooh amechokwa!! Sasa kivp akataliwe Mwanza alafu akubalike porini huko Busega na Magu? Hata Logic inakataa.
Kwa hiyo una maana Nyegezi siyo Mwanza?Mbona inaonyesha hakuwa na ratiba ya Mwanza bali alipita tu na hata hapo Nyegezi alipitia kwa kuwa ni karibu na Usagala.
Huu nao ni uzi tayari? Wapumbavu hamuishi hakika
Mwanza kunani
View attachment 1536820
Hili jukwaa limevamiwa, Lissu hakuingia jijini mwanza kwani alipita Usagara na kutokea Kisesa akaelekea Musoma.
Danganya wajinga wenzio tu
Acha Bangi mkuu na uache madawa ya kulevya, la sivyo uelewa wako unapotea Kwa kasi ya forg"Huu nao ni uzi tayari? Wapumbavu hamuishi hakika
hata sio mmama huyo. ni shemale huyo.Mama D kimekukumba nini? alikuja kupata wadhamini, sasa hotuba wapi na wapi? Wakija anawahutubia, wakikosekana anaondoka as long as amepata wadhamini!
Kuna kutoelewa na kutotala kuelewa. Huwa hatuna cha kufanya juu ya asiyetaka kuelewa.Kwa hiyo una maana Nyegezi siyo Mwanza?
Nani mkweli hapaHili jukwaa limevamiwa, Lissu hakuingia jijini mwanza kwani alipita Usagara na kutokea Kisesa akaelekea Musoma.
Danganya wajinga wenzio tu
Mbona inaonyesha hakuwa na ratiba ya Mwanza bali alipita tu na hata hapo Nyegezi alipitia kwa kuwa ni karibu na Usagala.
Kazi kweli kweliMwanza kunani
View attachment 1536820
Jinga kweli we jamaaMwanza kunani
View attachment 1536820
Ratiba yake ilikuwa aende Mwanza then Geita ndio aende Mara, kaona upepo sio mzuri kapiga gear ya angani kama ndege ya kivita, kapita uchochoro katokezea kisesa huyo Tarime hata musoma hakupita, pale Bunda kahutubia sokoni, karudi usiku usiku kala chochoka ya bariadi katokezea maganzo huyo Arusha, hivi hizi gari zinakimbiaje? jana alikuwa Tarime leo yuko Arusha msijetugongea Punda wetu mkatuharibia maishaAlikuja akaishia nyegezi ndipo akageuza kurudi kupitia njia ya kusagala kisesa
Mimi ninachojua taarifa ililetwa hapa kwamba Mwanza hakufanya kikao.Nani mkweli hapa
Mimi ninachojua taarifa ililetwa hapa kwamba Mwanza hakufanya kikao.