uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Yupo chamwino.Acha uzwazwa wewe.
Magufuli atuambie...Azory Gwanda yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo chamwino.Acha uzwazwa wewe.
Magufuli atuambie...Azory Gwanda yuko wapi?
Hahaha! Basi sawaYupo chamwino.
Huo Ni ugonjwa tu wa akili ila umefikia Hali mbayaKama mnamroga na huo uchawi uwarudie popote mlipo.
Wewe ni zezeta anayemiliki simu.Lissu ni punguani
Lisu ni punguani ajiandae oktoba arudi kwa mabwana zake ubelgijiHaihitaji PhD kutambua akili zilizochanganyika na haja kubwa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Aliyetaka tufe na corona utamfahamu tu,siyo Lissu.Ni mpumbavu pekee anayeweza kudhani Lissu atashinda uchaguzi wa mwaka huu.
CCM imeshakuwa tested kwenye all senario kuanzia vitisho,mafuriko,umaarufu wa mgombea nk leo ukizungumzia Lissu ni wepesi sana ukilingalisha na Lowasa ambae alikuwa King Pin kuanzia connection ,cash na alikuwa na watu ndani ya mfumo na ndani ya CCM yenyewe .
Ukizungumzia umaarufu wa Lissu kwenye level ya nchi ni mdg sana kulinganisha na mshindani wake ndani ya CCM kwenye upande wa hoja sidhani kama upinzani mwaka huu wana hoja ambayo itaweza kubadili hisia za wapigakula wengi pia historia inaonyesha hakuna msimu ambao kunakiongozi alichaguliwa kwa kuonewa huruma
Ukizungumzia utayari wa Chadema ktk kutetea kura zao sidhani kama leo wanachama wa chadema wana uthubutu na ujasiri kama waliokuwa nao wanachama wa CUF ngangali na Ngunguli ya enzi zile ambao mfumo ule ulishindwa na wote tunajua.
Hayo ni mapungufu machache ya Lissu niliyoandika leo, kuna mengi tu kama sera zake za kutumia badala ya kuzalisha, kuwatetea mabeberu kutuibia madini n.k. Kila kitu kina siku na muda wake kukisema.Wekeni hoja hapa tuzijadili kwa manufaa ya nchi yetu. Ulichokiandika hakiwezi mshawishi mtu yeyote kumwona Lissu ni mbaya na kisha kumpigia mtu wako kura kwasababu umeandika kama mipasho.
Weka madhaifu ya Lissu kama vile kukosa stratergy za kiuchumi au kuwa mtu wa hasira za haraka ili tujadili tuone kama yanampunguzia sifa za kuwa rais au la.
Acha taarabu.
Utathibitisha mwenyewe kuwa mnao fikiri Lissu atakuwa Rais mna ndoto za mchana, subiri mwezi wa kumi, lol.Haya aamka ukakojoe usije kuloanisha kitanda! Ndoto za mchana haziishagi vizuri
Hahahaha kwakua mnajua mtaiba kura kwa kutumia Polisi eeghh?? Jaribuni tena huo upuuzi wenu mwaka huu muoneUtathibitisha mwenyewe kuwa mnao fikiri Lissu atakuwa Rais mna ndoto za mchana, subiri mwezi wa kumi, lol.
Kuzusha mambo ni uwehu.Hahahaha kwakua mnajua mtaiba kura kwa kutumia Polisi eeghh?? Jaribuni tena huo upuuzi wenu mwaka huu muone
Wenye akili timamu wamenielewa lol.Haihitaji PhD kutambua akili zilizochanganyika na haja kubwa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wehu ni nyie mnaotaka kutuaminisha ujingaKuzusha mambo ni uwehu.
Du! Sijui utaandika nini ikifika Novemba 1 2020?Ni mpumbavu pekee anayeweza kudhani Lissu atashinda uchaguzi wa mwaka huu.
CCM imeshakuwa tested kwenye all senario kuanzia vitisho,mafuriko,umaarufu wa mgombea nk leo ukizungumzia Lissu ni wepesi sana ukilingalisha na Lowasa ambae alikuwa King Pin kuanzia connection ,cash na alikuwa na watu ndani ya mfumo na ndani ya CCM yenyewe .
Ukizungumzia umaarufu wa Lissu kwenye level ya nchi ni mdg sana kulinganisha na mshindani wake ndani ya CCM kwenye upande wa hoja sidhani kama upinzani mwaka huu wana hoja ambayo itaweza kubadili hisia za wapigakula wengi pia historia inaonyesha hakuna msimu ambao kunakiongozi alichaguliwa kwa kuonewa huruma
Ukizungumzia utayari wa Chadema ktk kutetea kura zao sidhani kama leo wanachama wa chadema wana uthubutu na ujasiri kama waliokuwa nao wanachama wa CUF ngangali na Ngunguli ya enzi zile ambao mfumo ule ulishindwa na wote tunajua.
Ujinga upo kwenye domo kaya la Lissu na wanao munga mkono, ukichunguza utaona wote ni watu wasiotumia akili au wehu.Wehu ni nyie mnaotaka kutuaminisha ujinga
Wewe ndiyo wa kurudi shule kuelewa aya yangu, wenye akili wameelewa. Akili zako zimeamua aya yang inasem Lissu kaleta korona, ndiyo maana tunawaita wehu.Kwa hiyo lissu ndio alileta corona?
Brother embu rudi shule ujifunze kutunga mada zenye maana zenye kusaidia nchi.
Umeandika weeee utadhani aliyoyaongea ni uongo! Kuandika insha ndefu hakuubadilishi ukweli wowote ule! Andika hata four pages ukweli unabaki pale paleUjinga upo kwenye domo kaya la Lissu na wanao munga mkono, ukichunguza utaona wote ni watu wasiotumia akili au wehu.
Yapo Mambo mengi ukiyachunguza, utagundua tabia zilizomo ndani ya Mgombea wa CHADEMA na hapa ni wazi kuwa amekosa agenda.
Sehemu ya hotuba yake ya Jana imekuwa na mbwembwe nyingi huku akishangiliwa na watu wasio weza kuhoji chochote kutoka kwa mgombea huyo.
Anasema Raisi anatufanya wajinga kwa kusema amejenga Bwawa la Umeme, Reli kanunua ndege nk. Nimuombe Lisu na wanachadema wenzake wajisikilize halafu watujibu. Je nikweli wamefanywa wajinga? Au wao ndio wanajifanya Wajinga?.
Bunge La mama Anne Makinda. Tundu Lisu alisikika aikesema kwa kejeli ndani ya Bunge Nchi hii Sasa inaitwa Tanzagiza kwa sababu ya Tatizo La Umeme. Akipigiwa makofi kwa kusema Umeme unakatika na ni wa mgao. Akaenda mbali kuyalaumu makampuni Kama symbion, IPTL Dowans, na kwamba pamoja na uwekezaji wao Tanesco wanapata hasara.
Raisi Magufuri Akasikia Kilio hiki. Kawatimua makampuni hayo, kawapa Nguvu Tanesco Sasa Unajengwa mradi utakao kuwa mwarobaini wa umeme. Leo Lisu anasema tunafanywa wajinga! Hapa anayewafanya wenzie Wajinga ni Nani?
Katika Bunge hilohilo Lisu huyohuyo alisema katika Usafiri wa anga ni Aibu kwa Tanzania Nchi yenye Mali Asili za kutosha kukosa ndege. Akasema ndege za Rwanda, Kenya na Ethiopia ndio zinatumika hapa kwetu. Akawadharau viongozi wetu kwa kuamua kujenga terminal 3 wakati hata ndege ndogo hawana. Leo anasema zilikuwepo Tangu ukoloni! Hivi Nani anayetufanya wajinga?
Ni Lisu huyu alisema Madini Yetu yana porwa, makaburu wamepewa vitalu, majizi yako wizara ya Madini. Lakini pia Ni Yeye Kama wanavyosema wao Ni Yeye ambaye aliamua kupingana na Raisi hadharani akiwatetea makaburu. Akakanyaga Elimu za wasomi wetu akiziita roport zile kwa Lugha ya Kigeni "professorial Rubbish". Akaenda mbali zaidi akasema tutashitakiwa, Kama haitoshi wakati wanapitisha seria mpya ya Udhibiti wa madini Yetu wabunge wa chama chake wote walipinga. Swali hapa ni je Tulishitakiwa? Je Ni kweli report zile hazikuwa na Tija kwa Taifa? Na Sasa Nani anayejeribu kutufanya wajinga?
Ni Yeye Lisu alisikika akisema Reli ya Kati tangu tumerithi kwa mkoloni mpaka Leo Ni ileile, imechakaa, mbovu na kila aina ya kejeri reli Ile emekarabatiwa, kigoma watu wanakwenda na Delux Moshi Tanga Leli inapitika Kama hii haitoshi inajengwa Reli ya Kisasa na Watanzania tunaona. Mtu mwenye Akili unawezaje kusema tunafanywa wajinga?
Ni Yeye Lisu aliye komaa na Mafisadi, hapa hakuwa na mchezo, alipaza sauti kwelikweli. Akamkatalia Raisi Kikwete hadharani kwamba Fedha za Tegeta Escrow si Mali ya watu ni fedha za Uma. Ni Nani asiyejua Jinsi alivyomtukana Lowasa na issue ya Richmond?Ni Yeye huyo huyo alimnadi Lowasa kuwa ni mtu Safi 2015. Tena ni Yeye Leo Mafisadi wanaposhughurikiwa anasema wanabambikiziwa kesi na kuporwa fedha.
Ni Yeye Lisu alisikika akisema wakina mama wanajifungulia njiani, wanalala chini mahospitalini, hakuna dawa, Msd wakapewa kila aina ya kejeli. Leo wakina mama wanajifungulia kwenye vituo vya Afya, usafiri uhakika tunaambiwa Raisi asitufanye wajinga.
Kwa kifupi Lisu haaminiki. Ni mtu kigeugeu na kwakweli Ni Yeye anayejifanya mjinga wakati anaelewa wazi jinsi Nchi hii inavyojengwa.
Ukweli anaujua Dodoma alivyoikuta sivyo alivyoiacha hili tu limemshangaza. Pamoja na ukweli kuwa hata kuhamia Dodoma Lisu na wenzia Walipiga kelele hawakutaka Leo hawataki kuondoka Dodoma.
Uwanja wa ndege chato Ni dhambi kuwepo? Chato hakuna watanzania? watu wa chato hawana hadhi ya kupanda ndege? Je chato mapato yatokanayo na uwanja huo ni Mali ya Magufuri?
Utasema chato kunanini? Wapo watu, wapo wafanyabihashara wa madini, wapo watumishi na Wana haki ya kupanda ndege na kuwa na uwanja. Acheni wivu.
Hifadhi mpya ya Buligi Ni Mali ya Magufuri? Watalii wa ndani na wanje wakienda hapo pesa anapewa Magufuri? Je uwepo wa uwanja na biashara hii Mpya ya Utalii haviendi sambamba? Makampuni ya Utalii yatakayowekeza huko na hotel zitakazojengwa huko zote zitakuwa Mali ya Magufuri? Vitu hivi havita wasaidia watanzania?
Ikiwa mapato ya hifadhi na uwanja wa ndege sio Mali ya Magufuri Ni Mali ya watanzania nongwa ya Nini kwa watu wa chato?
Umesema nyerere hakufanya hivyo? Lisu
anajua uwanja wa ndege Musoma ulijengwa mwaka Gani? Je ule wa Mungumu Serengeti? Huko sio Mara? Au hapakuwa Asili ya Nyerere. Ajibu kwa hoja wakatio huo Dodoma kilikuwa na uwanja? Mtwara kulikuwa na uwanja? Mbeya je?