Si ajabu mwenyekiti akasema anaenda kuwaza na kuwazua ndani ya saa 48. Akiona chama CHAKE kinaenda kuzamishwa, yeye kamanda ANARUDI MZIGONI.
Maana yake: kamanda alikuwa ameamua kuachia ngazi na kutoka mzigoni.
Lakini sasa kwa sababu ya upepo wenyewe unavyovuma, na pia ^kwa ushawishi mkubwa^ wa (?) na pia kwa sababu inaonekana hakuwa ameridhia yeye mwenyewe kutoka moyoni, ameamua aende kuchukua fomu ya uenyekiti.
Ikumbukwe kwamba mwenyekiti akichukua fomu, LAZIMA aishinde hata kama yeye mwenyewe ndiye angekuwa anajiunga mkono, halafu wajumbe wengine wote wawe upande wa TAL. Sijui inaeleweka hapo?
cc:
Pascal Mayalla unadhani kwa mtindo huu, dume la simba litakuwa moja tu pale mbugani?