Pre GE2025 Lissu: Aliyemleta Abdul kunihonga anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti na anamuunga mkono 'Mwenyekiti'

Pre GE2025 Lissu: Aliyemleta Abdul kunihonga anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti na anamuunga mkono 'Mwenyekiti'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA ni wala rushwa kuanzia chini mpaka juu. Ambao wamewahi kuwa ndani ya CHADEMA hizi tuhuma haziwezi washangaza. Majimboni huko ndiyo usiseme, wagombe, viongozi na mawakala ikifika uchaguzi wote wanageuka kuwa wafanya biashara wa kura. Rushwa ndani ya CHADEMA hata CCM haifiki
Eeh ndivyo walivyo !
 
Sawa kama unaamini CDM na wenyewe hawajui Lissu anavyotumika na mabeberu wakiamua siasa za ‘mwaga ugali, ni tumwage mnogą’

Utoto mwingi humu jukwaa la siasa.

As for me nakuachia ‘kidałI’ kwangu ‘Pooh’, shinda mpaka nitakaporudi.
Tumia akili wewe zuzu la ccm
 
Mhmm alitakaje, hiyo nafasi ibaki wazi?
Atulie atashinda, aache kuchanganyikiwa mapema, akishindwa si basi, kelele za nini?
 
Yaani wanachama wa chadema wanavyojidai rushwa kwao mwiko sijui saiv wako vip
 
Si ajabu mwenyekiti akasema anaenda kuwaza na kuwazua ndani ya saa 48. Akiona chama CHAKE kinaenda kuzamishwa, yeye kamanda ANARUDI MZIGONI.

Maana yake: kamanda alikuwa ameamua kuachia ngazi na kutoka mzigoni.

Lakini sasa kwa sababu ya upepo wenyewe unavyovuma, na pia ^kwa ushawishi mkubwa^ wa (?) na pia kwa sababu inaonekana hakuwa ameridhia yeye mwenyewe kutoka moyoni, ameamua aende kuchukua fomu ya uenyekiti.

Ikumbukwe kwamba mwenyekiti akichukua fomu, LAZIMA aishinde hata kama yeye mwenyewe ndiye angekuwa anajiunga mkono, halafu wajumbe wengine wote wawe upande wa TAL. Sijui inaeleweka hapo?

cc: Pascal Mayalla unadhani kwa mtindo huu, dume la simba litakuwa moja tu pale mbugani?
Unaakili sn
 
Back
Top Bottom