Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Kwa hiyo leo mbowe akifariki na chadema ndo basi tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Yah c itakua ni afadhali kwenu 🤣🤣🤣usiempenda kaondoka au nasema uongo kijana kwa hisani ya watu wa Lumumba?
 
We ni moja ya kundi la watu wajinga ambao hata Mwenda alipokuwa anauwa watu na bado mlimshangilia. Lini uliona mbowe akitoa maneno ya Dharau kwa Dr slaa?.
Dada hata kama unahitaji ndoa na mwenyekiti, nakuomba muda mungine upunguze mihemko ili usome kwa makini kilichoandikwa afu ndo uje sasa kuandika yatakayomfurahisha umpendae. Ni wapi nimeandika kuwa Mbowe alitoa maneno ya dharau kwa dr Slaa? Au ndo kutaka uonekane bora zaidi ya yule chaguo lake la moyo?
 
Ujui hata ulichoandika? jisome tena na uone ulichojibiwa. Siyo Bichwa umejaza UZINZI mpaka uelewi umeandika nini. Ulichoandika ndicho ulichojibiwa?.
 
Sitaki hata kukusukia kwa jinsi nisivyokupend lissu. Wewe ni kibaraka mkubwa usiyokua na chembe ya aibu.
 
Asee haya Majadaliano yalikuwa marefu lakini nimemaliza ,nimepata funzo kubwa katika amisha kupitia maswali na majibu katika kipindi hiki.
 
Kwani bunge linaisha leo?.Unaandika ujinga utadhani nchi inakufa kesho.Huo uchaguzi uliowafanya mkalundikana mjengoni kama nzige wala haukua uchaguzi bali maagizo sasa aliyeagiza hayupo kwahiyo tegemea lolote siku yoyote maana sidhani kama atakuja kupatikana tena mtu mbaya wa aina ile kwenye kapu lenu ata mkilikung'uta vip.
 
Aisee historia inasisimua kweli
Inaendelea wapi mbona haijaisha??
 
Miamba miwili ya Afrika mashariki Ilikuwa inaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…