Uchaguzi 2020 Lissu ameahidi kurejesha mishahara ya Watumishi waliogombea

ccm mbele kwa mbele,uliyataka mwenyewe,sikio la kufa dawa halisikii kabisaaaaaa
 
I concur with you. CCM has turned into a cruel devil. No votes until this inhumanity is settled.
 
Yaani lisu anakera sana,yani[emoji849][emoji849],kujipendekeza tu kwa wafanyakazi,,mijitu yenyewe hainaga shukrani hata...
Tabia za viongozi wao usizifanye kuwa ndio tabia za watumishi wote.
 
Kajifunze kwanza kuandika (BIHALAMURO ) huu mji uko wapi?
 
I concur with you. CCM has turned into a cruel devil. No votes until this inhumanity is settled.
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Hapa Lissu kaongea point kabisa. Hivi huyu mwalimu kipindi kashindwa Biharamlo alisimamishwa mishahara yake.
Haya ndy maswali mhimu nyakati hizi...Pole pole hawezi jibu maswali haya halafu kwann JPM ashindwe kujitokeza kujibu hoja hizi zote yeye mwenyewe ispokua amtumie pole pole ambae hupiga tu Porojo kama vile a naongea na watoto...Pole pole anaifukia CCM shimoni. Japo najua ndy nyakat Mungu ameamua kutumia hyu kuifuta CCM....madarakani

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ulitamani iwe mishahara ya muda gani?
Arguement zako za kipuuzi kwelikweli.....yaani kwa sababu mshahara wa mwezi mmoja unaona ni sawa kutolipwa?
 
Mkuu siyo kwamba mlilipwa kama unclaimed salaries au areas? Pole sana!!
 
Ulitamani iwe mishahara ya muda gani?
Arguement zako za kipuuzi kwelikweli.....yaani kwa sababu mshahara wa mwezi mmoja unaona ni sawa kutolipwa?
kama ni sawa kutolipwa mshahara mmoja ,mbona serikali imeuchukua?na siyo mshahara wa mwezi mmoja ni mishahara ya miezi miwili yote kama ilivyo pamoja na basic,hadi mchango wa PSSF kwa watumisha wa miezi miwili hautaenda,
 
Hatukulipwa. Mwezi huu tumeanza kulipwa ila bank wameishikiria kwa kuwa marejesho ya mikoa yetu ya mwezi wa saba na nane haikuwafikia. Hivyo sasa ni miezi mitatu bila mshahara.
Mkuu siyo kwamba mlilipwa kama unclaimed salaries au areas? Pole sana!!
 
Mkuu siyo kwamba mlilipwa kama unclaimed salaries au areas? Pole sana!!
hakuna kitu kama hicho,kama ulikopa benki mbili tofauti lazma ulipe pesa yako mfukoni,mjinga mmoja anasema mshahara wa mwezi mmoja,kuna watumishi maelfu waligombea leo mjinga mmoja wa ccm anasema mshahara moja tu unalalamika huo ni ujinga,
 
Uonevu na uwoga tu,hakuna Serikali yoyote inayopiga watu wake faini/kuwaadhibu kwa sababu ya kugombea nafasi za Uongozi kama Haki yao ya msingi ya kuchagua/kuchaguliwa(Kupiga na kupigiwa kura).
Baadhi ya Sheria zetu ni za kibaguzi mno.Tuna kipengele kinawanyima Watumishi wa Umma kutokushiriki shughuli za kisiasa(Nipo tayari kukosolewa),hii ni sheria ya ajabu sana.Unapowanyima Watumishi wa Umma kushiriki siasa ni saw a na kuwanyima wasomi fursa na Haki yao ya kushiriki/kuwa miongoni mwa watunga sheria na Sera za nchi.Licha ya kwamba ni ubaguzi wa hali ya juu,nadhani ndiyo chanzo cha kukwama kimaendeleo.Fikiria kwamba siasa ni kwa ajili ya wasiosoma?Naomba nisieleweke vibaya,nashindwa kuielezea kwa namna isiyoudhi,ila kiukweli siasa ni kwa ajili ya waliofeli masomoni?Kwa mfumo wetu wa Elimu ulivyo sasa na huko nyuma,waliofaulu darasa LA saba,kidato cha NNE,sita na hatimaye vyuoni ndio waliopo kwenye Utumishi wa Umma.Hii maana yake nini?Hawana haki ya kushiriki kufanya maamuzi ya maendeleo Bali watekeleze ama watumbuliwe na failures?
Sorry, I had no simpler way to tell this sad story of how we obtain our country's policy makers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…