Uchaguzi 2020 Lissu ameahidi kurejesha mishahara ya Watumishi waliogombea

Uchaguzi 2020 Lissu ameahidi kurejesha mishahara ya Watumishi waliogombea

LISU ANATISHA,ANASEMA LABDA WAKURUGENZI WACHOME MOTO DAFTARI LA.MAHUDHURIO KAZINI,ILA KAMA MTUMISHI ALISAINI MWEZI WA SABA WOTE AKIWA KAZINI,NA KUFIKISHA SIKU 15,ATALIPWA MSHAHARA WAKE ULIOKAMILI,[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ndivyo sheria ya Utumishi wa Umma ilivyotamka,yupo sahihi.Aje aliyedhulumu mishahara atuambie alitumia sheria ipi ya Tanzania?
Wazo/ushauri mujaraab ni kuwalipa haraka sana na fidia/usumbufu waliosababishiwa kimwili na kisaikolojia.Tiba ni muhimu kwa wahanga wa uonevu,kumbe hata Makada pia wanaisoma plate number?
 
Hakuna sheria inayosema hivyo, wala kanuni, ni waraka wa utumishi ndio umetumika
 
Uonevu na uwoga tu,hakuna Serikali yoyote inayopiga watu wake faini/kuwaadhibu kwa sababu ya kugombea nafasi za Uongozi kama Haki yao ya msingi ya kuchagua/kuchaguliwa(Kupiga na kupigiwa kura).
Baadhi ya Sheria zetu ni za kibaguzi mno.Tuna kipengele kinawanyima Watumishi wa Umma kutokushiriki shughuli za kisiasa(Nipo tayari kukosolewa),hii ni sheria ya ajabu sana.Unapowanyima Watumishi wa Umma kushiriki siasa ni saw a na kuwanyima wasomi fursa na Haki yao ya kushiriki/kuwa miongoni mwa watunga sheria na Sera za nchi.Licha ya kwamba ni ubaguzi wa hali ya juu,nadhani ndiyo chanzo cha kukwama kimaendeleo.Fikiria kwamba siasa ni kwa ajili ya wasiosoma?Naomba nisieleweke vibaya,nashindwa kuielezea kwa namna isiyoudhi,ila kiukweli siasa ni kwa ajili ya waliofeli masomoni?Kwa mfumo wetu wa Elimu ulivyo sasa na huko nyuma,waliofaulu darasa LA saba,kidato cha NNE,sita na hatimaye vyuoni ndio waliopo kwenye Utumishi wa Umma.Hii maana yake nini?Hawana haki ya kushiriki kufanya maamuzi ya maendeleo Bali watekeleze aka watumbuliwe na failures?
Sorry, I had no simpler way to tell this sad story of his we obtain our country's policy makers.
mh aisee,
 
Tunaisoma kikimyakimya.
Ndivyo sheria ya Utumishi wa Umma ilivyotamka,yupo sahihi.Aje aliyedhulumu mishahara atuambie alitumia sheria ipi ya Tanzania?
Wazo/ushauri mujaraab ni kuwalipa haraka sana na fidia/usumbufu waliosababishiwa kimwili na kisaikolojia.Tiba ni muhimu kwa wahanga wa uonevu,kumbe hata Makada pia wanaisoma plate number?
 
weka clip ya maneno hayo
crip ya nn subiri utasikia muda si mrefu mm nimevujisha siri,lilikuwa pigo la juma tatu utaisikia hewani na mengine mengi,unashangaa hili,je la kipalata lilinukaje?kama halipo laja ,
 
Magufuli atuambie kwanini Kunambi na Katambi hawakuvuliwa vyeo vyao.. Na je mishahara yao ilisimama!??

Double Standards...

Kwanini Makonda alipata mtu wa kumbadili in 24 hrs..!?

Ccm ni takataka.
 
Ndivyo sheria ya Utumishi wa Umma ilivyotamka,yupo sahihi.Aje aliyedhulumu mishahara atuambie alitumia sheria ipi ya Tanzania?
Wazo/ushauri mujaraab ni kuwalipa haraka sana na fidia/usumbufu waliosababishiwa kimwili na kisaikolojia.Tiba ni muhimu kwa wahanga wa uonevu,kumbe hata Makada pia wanaisoma plate number?
makada halisi hawana mishahara serikalini,huwa wanaandikiwa vocha tu,
 
Magufuli atuambie kwanini Kunambi na Katambi hawakuvuliwa vyeo vyao.. Na je mishahara yao ilisimama!??

Double Standards...

Kwanini Makonda alipata mtu wa kumbadili in 24 hrs..!?

Ccm ni takataka.
ccm ni baba lao humsikii diamond
 
I am also a victim of this. So far my salary has been withheld by the bank to the extent that I have failed to withdraw even ten shillings. Seriously, how and why should I votes for those who tormented me for two months?. Impossible! First CCM must clear this matter before forcusing to our votes.
I Am also a victim this.
 
Pale mgombea anapoleta mahaba kwenye sheria.

Nani ampigie kura mtu kisa mshahara wa mwezi mmoja??

Jamaa kaishiwa vya kuzungumza,

Ilani ya chama ni mbovu,

Haina mvuto anaishia kuzungumzia ya wenzake tu,

Hana na hawezi kuwaambia wananchi atawaletea vipi maendeleo zaidi ya haya yaliyofanywa na CCM.
Punguza mahaba kijana, Lissu anagusa maisha ya kila mtanzania, hiyo buku 7 unayopewa isikuondolee utimamu wa kufikiri.
 
poleni aiseee ,mungu awasaidie,bora kudaiwa na mtu baki kuliko kukuta imekatwa moja kwa zote,inauma aisee
July na August walikata. Unaingia sept na Oct tunalipa madeni ya bank ya JULY na August . Kwa ujumla watumishi waliotia Nia zaidi ya 7000 miezi minne hakuna Mishahara. Ccm waondoke tu.
 
July na August walikata. Unaingia sept na Oct tunalipa madeni ya bank ya JULY na August . Kwa ujumla watumishi waliotia Nia zaidi ya 7000 miezi minne hakuna Mishahara. Ccm waondoke tu.
jamani jamani siku ya kufa nyani miti yote huteleza jamaaa,mm ccm lakini kwa hili hapana,wanatakiwa kurekebisha hii siyo hoja ya kupuuza kabisa haiwezekani watu,wanawalipa wasanii mabilioni huku hwa watumishi na familia zao na mama zao na wake zao na vijana wao wanaoenda shule na kulipiwa ada uwanyanyase vya kutosha hapana na mm nasema walipwe haki zao na fidia pia,
 
Back
Top Bottom