Uchaguzi 2020 Lissu ameahidi kurejesha mishahara ya Watumishi waliogombea

LISU ANATISHA,ANASEMA LABDA WAKURUGENZI WACHOME MOTO DAFTARI LA.MAHUDHURIO KAZINI,ILA KAMA MTUMISHI ALISAINI MWEZI WA SABA WOTE AKIWA KAZINI,NA KUFIKISHA SIKU 15,ATALIPWA MSHAHARA WAKE ULIOKAMILI,[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ndivyo sheria ya Utumishi wa Umma ilivyotamka,yupo sahihi.Aje aliyedhulumu mishahara atuambie alitumia sheria ipi ya Tanzania?
Wazo/ushauri mujaraab ni kuwalipa haraka sana na fidia/usumbufu waliosababishiwa kimwili na kisaikolojia.Tiba ni muhimu kwa wahanga wa uonevu,kumbe hata Makada pia wanaisoma plate number?
 
Hakuna sheria inayosema hivyo, wala kanuni, ni waraka wa utumishi ndio umetumika
 
mh aisee,
 
Tunaisoma kikimyakimya.
 
weka clip ya maneno hayo
crip ya nn subiri utasikia muda si mrefu mm nimevujisha siri,lilikuwa pigo la juma tatu utaisikia hewani na mengine mengi,unashangaa hili,je la kipalata lilinukaje?kama halipo laja ,
 
Magufuli atuambie kwanini Kunambi na Katambi hawakuvuliwa vyeo vyao.. Na je mishahara yao ilisimama!??

Double Standards...

Kwanini Makonda alipata mtu wa kumbadili in 24 hrs..!?

Ccm ni takataka.
 
makada halisi hawana mishahara serikalini,huwa wanaandikiwa vocha tu,
 
Magufuli atuambie kwanini Kunambi na Katambi hawakuvuliwa vyeo vyao.. Na je mishahara yao ilisimama!??

Double Standards...

Kwanini Makonda alipata mtu wa kumbadili in 24 hrs..!?

Ccm ni takataka.
ccm ni baba lao humsikii diamond
 
I Am also a victim this.
 
Punguza mahaba kijana, Lissu anagusa maisha ya kila mtanzania, hiyo buku 7 unayopewa isikuondolee utimamu wa kufikiri.
 
poleni aiseee ,mungu awasaidie,bora kudaiwa na mtu baki kuliko kukuta imekatwa moja kwa zote,inauma aisee
July na August walikata. Unaingia sept na Oct tunalipa madeni ya bank ya JULY na August . Kwa ujumla watumishi waliotia Nia zaidi ya 7000 miezi minne hakuna Mishahara. Ccm waondoke tu.
 
July na August walikata. Unaingia sept na Oct tunalipa madeni ya bank ya JULY na August . Kwa ujumla watumishi waliotia Nia zaidi ya 7000 miezi minne hakuna Mishahara. Ccm waondoke tu.
jamani jamani siku ya kufa nyani miti yote huteleza jamaaa,mm ccm lakini kwa hili hapana,wanatakiwa kurekebisha hii siyo hoja ya kupuuza kabisa haiwezekani watu,wanawalipa wasanii mabilioni huku hwa watumishi na familia zao na mama zao na wake zao na vijana wao wanaoenda shule na kulipiwa ada uwanyanyase vya kutosha hapana na mm nasema walipwe haki zao na fidia pia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…