Uchaguzi 2020 Lissu ameahidi kurejesha mishahara ya Watumishi waliogombea

Huko Kanda ya Ziwa BUSEGA kuna jamaa zangu 12 WAlichangia MILIONI MOJA nje na Kulipia form kila moja
 
July na August walikata. Unaingia sept na Oct tunalipa madeni ya bank ya JULY na August . Kwa ujumla watumishi waliotia Nia zaidi ya 7000 miezi minne hakuna Mishahara. Ccm waondoke tu.
Ni kweli. Mm kila nikijaribu kuitoa inakwama. Kumbe ndiyo Bank wameshikia pesa yangu kuchukua malimbikizo yao. Then nivote kwa kwa aliyesabsbisha haye, hapana. CCM naipenda sana na bado kitaendelea kuwa chama changi ila kwa maumivu haya nasema hapana. I needy salary back before I vote to my party. No salary no my vote.
 
Yakiwakuta, ndio mnajua Magu hafai!
 
Dear, hata mimi nimekumbwa na hii sintofahamu. Sijui tutafanyaje kuishi..hakyamungu nimejiangalia kwenye kioo cha benk yaan sura imegeuka imekuwa kama ya zombi
View attachment 1581536
 
Tunza hizi pumba halafu subiri october 28 ndio utaona.
JPM akiibuka kidedea
 
Hiyo ni Haki yao ila haiondoi uhalifu uliofanyika na maKatibu Mkuu Hazina/Utumishi wa Umma wanatakiwa kuwajibika,watumishi hawa asilimia 100 waligombea huko huko CCM,je hawajasomeshwa namba hawa Makada?
Tujiulize kungekuwa na waliogombea kupitia upinzani kingewafika kipi?Ubaguzi umekithiri sana nchi hii.
 
katibu mkuu utumishi na hazina wanatakiwa kijibu hoja ,la sivyo tumeanza kuamini kua ccm inadhama kabisaaa
 
yani polepole anakuja na hoja za hovyoooo hajui wao ndo wamewasaliti wana ccm wenzao?
 
Username na avatar vinasadifu yaliyomo kwenye ubongo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…