Uchaguzi 2020 Lissu ameahidi kurejesha mishahara ya Watumishi waliogombea

Punguza mahaba kijana, Lissu anagusa maisha ya kila mtanzania, hiyo buku 7 unayopewa isikuondolee utimamu wa kufikiri.
yani kuna watu wanauhinga,hii hoja imegusa watu elfu7000,na familia zao mtu analeta mzaha wa kijinga aaisee,yani jpm huna kura kwa hawa watu,wengi wanajipendekeza kwako ona sasa inavyokula kwako
 
Hapa Lissu kaongea point kabisa. Hivi huyu mwalimu kipindi kashindwa Biharamlo alisimamishwa mishahara yake.
huyu ni katili kabisaa ,watoto wa watu wanakitapia mlo kwa sasa,
 
hani tumekata tamaa sana jamani
 
wewe utakua ndio mtumish uliyesain.
 
Lau kama ningekuwa na uwezo kuviangamiza vyama vya siasa ningeanza nan ccm kisha cuf na Nccr
 
Huyu jamaa Sera yake ni ipi? Sijui hata kama anajua ilani ya chadema ina kurasa ngapi! Ndo tatizo la kumpa ugombea mtu ambaye hakushiriki hata kuandika ilani, kutwa alikuwa anazulura tu ubelgiji, afu eti ndo think tank ya chandimu, hahahaha
 
NITAMPA KURA YANGU,MIEZI MIWILI SINA MSHAHARA
 
JAMAA FISADI KUPITA KIASI.JUMAPILI YUKO BENCHI LA KWANZA
 
Kura yangu itasubiri kidogo. Nimekatwa pesa miezi miwil mbaya zaidi bank Imechukia pesa yangu yote. Naendaje kupiga kura nikiwa na njaa hivi.
 
Nasubiria nyongeza ya mshahara kwa mwaka mara miaka mitano,,,
Nyongeza × miezi 12 × miaka 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…