Lissu amemchakaza Mbowe kura za mabaraza ya CHADEMA

Lissu amemchakaza Mbowe kura za mabaraza ya CHADEMA

Bacheza, bawacha hakuna wa kumpa kura lisu.
Haya mabaraza mawili ni ya watu wenye utimamu na ndo asilimia kubwa wataingia kupiga kura sasa tusubiri 21 mwehu mwenza na BAVICHA atapigwa za uso
Labda kwa msaada wa Policcm
 
View attachment 3205243

Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100

Namba zinasema hivi 👇🏽👇🏽

Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99
1. BAZECHA 33
-TAL 15
-FAM 18

2. BAWACHA 33
  • TAL 17
  • FAM 16

3. BAVICHA 33
  • TAL 31
  • FAM 2

Jumla
Tundu Lissu 63
Freeman Mbowe 36.
Huu uchaguzi ni mgumu sana wandugu
 
Wapambe wa ndugu matusi kichwareso mnahangaika kumchafua aliyekijenga chama nakukikuza mpaka naninyi mkajulikana na mlivyo wajinga mnadhani mtashinda!!
Uhuni huu wa lissu utamtafuna vibaya hata bahatimbaya ikitokea akashinda.
Look umbukeni hata shetani kunatuvita tudogo hutokea akaonekana akashinda lkn soote tunajua muovu hatokaa ashinde hata ikionekana kashinda
 
Hii ni aina mojawapo ya vilaza wanaoamini siasa hazibadiliki, na Hawa ndio wale wa zidumu fikra za mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom