Lissu amemchakaza Mbowe kura za mabaraza ya CHADEMA

Lissu amemchakaza Mbowe kura za mabaraza ya CHADEMA

Hii ni aina mojawapo ya vilaza wanaoamini siasa hazibadiliki, na Hawa ndio wale wa zidumu fikra za mwenyekiti.
We dada hatuwezi kumpa chama mwendawazimu na wenzake.
Tunataka watu wenye adabu.
Wenye kutetea taifa lao
Mwehu muda wote ni kubagaza kila mtu.
Nchi haiendeshwi na wehu.
Ndo maana nchi alopochukua mwendazake Mungu aliamua ugomvi mapema
 
Odero ni mwanasiasa mzuri na msomi anafaa kuwa Naibu Katibu mkuu bara, apewe nafasi ni mzuri kwa kutoa elimu ya uraia itikadi na uenezi wa chama, kwa wanaotaka kumsikiliza njooni hapa Soko kuu Arusha kijiwe cha kahawa.
 
hii ni vita ya wachaga baina ya makabila mengine niko na mbowe kwenye huu mtanange
 
Hii ni aina mojawapo ya vilaza wanaoamini siasa hazibadiliki, na Hawa ndio wale wa zidumu fikra za mwenyekiti.
Hii ni aina ya wapuuzi wanaobadili gololi kwa dhahabu... Akili zimepumbazwa na wamagharibi HADI yanasema ushoga nifatagha zawatu!! Mjinga kabisa ninyi malofa...
Sisi kina Putin style,Trump style,Israel style msituambie mabadiliko ya kipumbafu!!!
Msisahau shetani kule mbinguni naye alitaka mabadiliko akalie kiti alifurushwa HADI Leo anaishi kwenye misitu,mashimo ya mavi na chini ya bahari
 
Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100

Namba zinasema hivi [emoji1427][emoji1427]

Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99
1. BAZECHA 33
-TAL 15
-FAM 18

2. BAWACHA 33
  • TAL 17
  • FAM 16

3. BAVICHA 33
  • TAL 31
  • FAM 2

Jumla
Tundu Lissu 63
Freeman Mbowe 36.
ndo Mjue Mbowe ni Mwamba.
tunaanzia maridhiano tulipoishia.
lisu asopenda maridhiano atarudi ubelgiji
 
Da. Sikutegemea wewe uko CCM. Kweli siasa za Tanzania ni mchezo wa kamari.
Siwezi kuwa CCM. Mimi naipenda CDM na upinzani kwa ujumla. Mimi kutompenda Mgombea lissu hakunifanyi kuwa CCM. Jifunzeni kuheshimu choices za watu!! Ulitaka wote tumtake Lissu? Mi naamini Mbowe bado anastahili kuiongoza CDM.
 
Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi anasema mtandaoni anaonekana hapendwi kwasababu watu wametengeneza account fake na wanazi-oparate kwa AI ili aonekane hakubaliki ila yeye ndo anakubalika
 
Siwezi kuwa CCM. Mimi naipenda CDM na upinzani kwa ujumla. Mimi kutompenda Mgombea lissu hakunifanyi kuwa CCM. Jifunzeni kuheshimu choices za watu!! Ulitaka wote tumtake Lissu? Mi naamini Mbowe bado anastahili kuiongoza CDM.
Kutaka Mbowe aendelee kuongozi ni kama umefanya mauaji ya demokrasia. Huu ni mwaka wa 2025, binadamu wameendelea na wanajua ukomo wa vipindi vya uongozi ndiyo genesis ya demokrasia duniani. Zile zama za mtu mmoja kuongoza kwa miaka 20 mfululizo zilishapita na enzi za kina Nyerere. Katu sitaheshimu uamuzi wa mtu anayesema eti anataka kuongoza chama kwa miaka 25. Hii ni aibu na imemfanya Mbowe apoteze heshima yote aliyokuwa amejijengea. Aibu ya mwaka.
 
So long as Katiba imempa haki hiyo bado ninayo haki ya kumpenda Kama Mgombea. Kwangu Mbowe bado anastahili kukiongoza chama hiki.
 
Back
Top Bottom