brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 549
- 674
We dada hatuwezi kumpa chama mwendawazimu na wenzake.Hii ni aina mojawapo ya vilaza wanaoamini siasa hazibadiliki, na Hawa ndio wale wa zidumu fikra za mwenyekiti.
Hii ni aina ya wapuuzi wanaobadili gololi kwa dhahabu... Akili zimepumbazwa na wamagharibi HADI yanasema ushoga nifatagha zawatu!! Mjinga kabisa ninyi malofa...Hii ni aina mojawapo ya vilaza wanaoamini siasa hazibadiliki, na Hawa ndio wale wa zidumu fikra za mwenyekiti.
ndo Mjue Mbowe ni Mwamba.Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100
Namba zinasema hivi [emoji1427][emoji1427]
Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99
1. BAZECHA 33
-TAL 15
-FAM 18
2. BAWACHA 33
- TAL 17
- FAM 16
3. BAVICHA 33
- TAL 31
- FAM 2
Jumla
Tundu Lissu 63
Freeman Mbowe 36.
Siwezi kuwa CCM. Mimi naipenda CDM na upinzani kwa ujumla. Mimi kutompenda Mgombea lissu hakunifanyi kuwa CCM. Jifunzeni kuheshimu choices za watu!! Ulitaka wote tumtake Lissu? Mi naamini Mbowe bado anastahili kuiongoza CDM.Da. Sikutegemea wewe uko CCM. Kweli siasa za Tanzania ni mchezo wa kamari.
Kura zitakazohesabika za kumchagua mwenyekiti ni zile tu kura halali zitakazopigwa na kuhesabiwa Januari 21, 2025801-Lissu
300-mbowe
Kutaka Mbowe aendelee kuongozi ni kama umefanya mauaji ya demokrasia. Huu ni mwaka wa 2025, binadamu wameendelea na wanajua ukomo wa vipindi vya uongozi ndiyo genesis ya demokrasia duniani. Zile zama za mtu mmoja kuongoza kwa miaka 20 mfululizo zilishapita na enzi za kina Nyerere. Katu sitaheshimu uamuzi wa mtu anayesema eti anataka kuongoza chama kwa miaka 25. Hii ni aibu na imemfanya Mbowe apoteze heshima yote aliyokuwa amejijengea. Aibu ya mwaka.Siwezi kuwa CCM. Mimi naipenda CDM na upinzani kwa ujumla. Mimi kutompenda Mgombea lissu hakunifanyi kuwa CCM. Jifunzeni kuheshimu choices za watu!! Ulitaka wote tumtake Lissu? Mi naamini Mbowe bado anastahili kuiongoza CDM.
So long as Katiba imempa haki hiyo bado ninayo haki ya kumpenda Kama Mgombea. Kwangu Mbowe bado anastahili kukiongoza chama hiki.Kutaka Mbowe aendelee kuongozi ni kama umefanya mauaji ya demokrasia. Huu ni mwaka wa 2025, binadamu wameendelea na wanajua ukomo wa vipindi vya uongozi ndiyo genesis ya demokrasia duniani. Zile zama za mtu mmoja kuongoza kwa miaka 20 mfululizo zilishapita na enzi za kina Nyerere. Katu sitaheshimu uamuzi wa mtu anayesema eti anataka kuongoza chama kwa miaka 25. Hii ni aibu na imemfanya Mbowe apoteze heshima yote aliyokuwa amejijengea. Aibu ya mwaka.
Hajui hesabu za darasa la pili B.Mwambie akakojoe akalale.1200- 99 = 1101 ni za nani?
Unajua wewe ni Platinum Member usipende mizaa katka mambo serious.801-Lissu
300-mbowe
With due respect, kuna wengine ni Plutnum members kwasababu ya kuchangia ujinga tu!Unajua wewe ni Platinum Member usipende mizaa katka mambo serious.
Lissu hawezi kufikisha kura 300.