Pre GE2025 Lissu amesema kuwa yeyote mwenye macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za ovyo

Pre GE2025 Lissu amesema kuwa yeyote mwenye macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za ovyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
download.jpeg
 
Huu ndo ukweli.

Tena Chadema wanatakiwa ku play clip ya Nape akiwa kwenye ule mkutano wa Byabato Kagera kuwasikilizsha Wananchi alafu wanawauliza kwa haya maneno ya Nape kuna haja ya kuwa na uchaguzi bila reforms?

Wananchi wenyewe watajua cha kujibu!
 
Huu ndo ukweli.

Tena Chadema wanatakiwa ku play clip ya Nape akiwa kwenye ule mkutano wa Byabato Karagwe kuwasikiliza Wananchi alafu wanawauliza kwa haya maneno ya Nape kuna haja ya kuwa na uchaguzi bila reforms?

Wananchi wenyewe watajua cha kujibu!
Hata ya DC wa Longido pia
 
Ndio maana Nchi haipati maendeleo Kila mtu mwizi au mbinafsi..
 
Huu ndo ukweli.

Tena Chadema wanatakiwa ku play clip ya Nape akiwa kwenye ule mkutano wa Byabato Karagwe kuwasikilizsha Wananchi alafu wanawauliza kwa haya maneno ya Nape kuna haja ya kuwa na uchaguzi bila reforms?

Wananchi wenyewe watajua cha kujibu!
Nape aliongelea Kashai, Bukoba Manispaa na sio Karagwe.

Hakuna kitakachozuia Uchaguzi Mkuu kufanyika na nzuri zaidi hakuna kitakachozuia CCM kupata ushindi wa kishindo!!
 
Nape aliongelea Kashai, Bukoba Manispaa na sio Karagwe.

Hakuna kitakachozuia Uchaguzi Mkuu kufanyika na nzuri zaidi hakuna kitakachozuia CCM kupata ushindi wa kishindo!!
Asante kwa kunirekebisha. Nimerekebisha.

Kuhusu uchaguzi endeleeni na kiburi chenu tu sasaivi maombi yetu ni vyombo vya dola viamke kuwaonesha CCM nyie ni wajinga tu!
 
Nape aliongelea Kashai, Bukoba Manispaa na sio Karagwe.

Hakuna kitakachozuia Uchaguzi Mkuu kufanyika na nzuri zaidi hakuna kitakachozuia CCM kupata ushindi wa kishindo!!
Sio kupata ushindi wa kishindo, bali kutangazwa kwa kishindo maana tayari uchaguzi ni wa hovyo, hivyo utatoa ushindi wa hovyo.
 
Asante kwa kunirekebisha. Nimerekebisha.

Kuhusu uchaguzi endeleeni na kiburi chenu tu sasaivi maombi yetu ni vyombo vya dola viamke kuwaonesha CCM nyie ni wajinga tu!
Mjinga ni yule anayeamini vyombo vya dola vinavyofanya kazi kwa uadilifu mkubwa vitasikiliza kelele za wahuni.
 
Sio kupata ushindi wa kishindo, bali kutangazwa kwa kishindo maana tayari uchaguzi ni wa hovyo, hivyo utatoa ushindi wa hovyo.
Sasa unaloloma nini kama hayo unayajua na HUNA NAMNA yoyote ya kufanya. Na mwaka huu tunashinda kwa kishindo na wewe itabaki unaloloma JF. Na mwaka 20230 tutashinda tena kwa kishindo na wewe itabaki unaloloma tu!!
 
Nasema hivi, ondoa neno kushinda, sema kutangazwa washindi kwa kishindo kwenye chaguzi za kishenzi.

🤣🤣🤣🤣
Mapemaaaa sana
😂😂😂 Aache uoga

Y amekimbilia kuwa Mwenyekiti

Hapo a najijua hawezi kushinda hata ingekuwa kuna yoyote mwingine kugombania urais.. Sasa anaanza kusaka huruma huruma hata uchaguzi bado.. Pesa pesa zichangwe azileeeeee na Lema nae anazitaka.. 😀

Akae pembeni wamrudishe Dr. SLAA ACHANGAMSHE KAMPENI ZA 2025.

Kazi niendelee...
 
Nasema hivi, ondoa neno kushinda, sema kutangazwa washindi kwa kishindo kwenye chaguzi za kishenzi.
Wahaya tunasema, "Ali angoma, niwe mukama". Wewe badili misamiati utakavyo na unaruhusiwa, lakini HAKUNA wa kuubadili uongozi wa CCM Tanzania.
 
Kwa kweli mfumo wetu wa utawala mpaka wa uchaguzi ni wa kishetani kabisa. Na rafiki mkubwa wa shetani ni CCM. CCM ukiwaambia utawala wa haki au uchaguzi wa haki, wewe kwao utakuwa adui mkubwa. Kwao mashetani yanayopenda kudhulumu haki za watu, ndiyo wazalendo wao wakubwa!!
 
"Yeyote mwenye akili na macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za hovyo sana na ni za hovyo kwa sababu mfumo mzima wa kiutawala wa nchi hii ni mfumo wa hovyo" - Tundu lissu, Mwenyekiti CHADEMA.
Nyuzi za kimhusu Lisu Jamii forums sasa hivi hazina mvuto toka achaguliwe mwenyekiti
Wachangiaji kiduchu
 
Wahaya tunasema, "Ali angoma, niwe mukama". Wewe badili misamiati utakavyo na unaruhusiwa, lakini HAKUNA wa kuubadili uongozi wa CCM Tanzania.
Ni kweli, hadi machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.
 
Back
Top Bottom