Pre GE2025 Lissu amesema kuwa yeyote mwenye macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za ovyo

Pre GE2025 Lissu amesema kuwa yeyote mwenye macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za ovyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu ndo ukweli.

Tena Chadema wanatakiwa ku play clip ya Nape akiwa kwenye ule mkutano wa Byabato Kagera kuwasikilizsha Wananchi alafu wanawauliza kwa haya maneno ya Nape kuna haja ya kuwa na uchaguzi bila reforms?

Wananchi wenyewe watajua cha kujibu!
CHADEMA HUWEZI KUZUIA UCHAGUZI UKITAKA ACHA TUNA VYAMA KARIBU 20 WAPOTAYARI KUSHIRIKI UKIACHA CHADEMA HATUNA CHA KUPOTEZA
 
Kamuulize Nyerere nini kilitaka kumpata, kisha uje kutapika hayo makande yako hapa.
"Kilitaka kumpata". Hapo umenena vizuri. Ila hakikumpata kutokana na misingi mizuri Tanzania iliyojiwekea.

Kamuulize Wakili Msomi Mzee Mabere Nyaucho Marando analijua vizuri hili ukizingatia alikuwa mmoja wa vijana mahiri na wazalendo waliomkimbiza Marehemu Komandoo Mzee Tamimu ili kumkamata kabla mauti hayajamkuta! By the way, si yupo Chadema sasa hivi? Ahahahahaha!!!
 
Huu ndo ukweli.

Tena Chadema wanatakiwa ku play clip ya Nape akiwa kwenye ule mkutano wa Byabato Kagera kuwasikilizsha Wananchi alafu wanawauliza kwa haya maneno ya Nape kuna haja ya kuwa na uchaguzi bila reforms?

Wananchi wenyewe watajua cha kujibu!
Zikusanywe zote watu wasikilizishwe
 
Ni swala la muda Sion future yake ndan ya Miaka 10 IJAYO
Mwaka 1997 wakati Mzee Mkapa anachukua Uwenyekiti wa CCM Taifa, gazeti la RAI kipindi kile liliandika, nanukuu, "CCM Kumfia Mkapa Mkononi". Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom