Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Na kwa nchi nzuri kama Tanzania, nakuapia hadi vitukuu vyako vitajukuu unasubiria hilo na HALITOTOKEANi kweli, hadi machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwa nchi nzuri kama Tanzania, nakuapia hadi vitukuu vyako vitajukuu unasubiria hilo na HALITOTOKEANi kweli, hadi machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.
Kwaiyo CCM itatawala milele eti?watamila mutai wangeWahaya tunasema, "Ali angoma, niwe mukama". Wewe badili misamiati utakavyo na unaruhusiwa, lakini HAKUNA wa kuubadili uongozi wa CCM Tanzania.
CHADEMA HUWEZI KUZUIA UCHAGUZI UKITAKA ACHA TUNA VYAMA KARIBU 20 WAPOTAYARI KUSHIRIKI UKIACHA CHADEMA HATUNA CHA KUPOTEZAHuu ndo ukweli.
Tena Chadema wanatakiwa ku play clip ya Nape akiwa kwenye ule mkutano wa Byabato Kagera kuwasikilizsha Wananchi alafu wanawauliza kwa haya maneno ya Nape kuna haja ya kuwa na uchaguzi bila reforms?
Wananchi wenyewe watajua cha kujibu!
Kamuulize Nyerere nini kilitaka kumpata, kisha uje kutapika hayo makande yako hapa.Na kwa nchi nzuri kama Tanzania, nakuapia hadi vitukuu vyako vitajukuu unasubiria hilo na HALITOTOKEA
Hicho kiburi chenu kitafikia mwisho siku si nyingi.CHADEMA HUWEZI KUZUIA UCHAGUZI UKITAKA ACHA TUNA VYAMA KARIBU 20 WAPOTAYARI KUSHIRIKI UKIACHA CHADEMA HATUNA CHA KUPOTEZA
Atamile mushuti! As long as CCM ilikuwepo madarakani hujazaliwa na ipo leo una wajukuu. Tu assume nilivyosema ni sahihi.Kwaiyo CCM itatawala milele eti?watamila mutai wange
"Kilitaka kumpata". Hapo umenena vizuri. Ila hakikumpata kutokana na misingi mizuri Tanzania iliyojiwekea.Kamuulize Nyerere nini kilitaka kumpata, kisha uje kutapika hayo makande yako hapa.
CCM ni matapeli tupuiKabisa tunapoteza mabilioni ya pesa katika chaguzi ambazo matokeo tayari yameandaliwa
Ni wezi wakubwaCCM ni matapeli tupui
Tapeli la kisiasa"Yeyote mwenye akili na macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za hovyo sana na ni za hovyo kwa sababu mfumo mzima wa kiutawala wa nchi hii ni mfumo wa hovyo" - Tundu lissu, Mwenyekiti CHADEMA.
Zikusanywe zote watu wasikilizishweHuu ndo ukweli.
Tena Chadema wanatakiwa ku play clip ya Nape akiwa kwenye ule mkutano wa Byabato Kagera kuwasikilizsha Wananchi alafu wanawauliza kwa haya maneno ya Nape kuna haja ya kuwa na uchaguzi bila reforms?
Wananchi wenyewe watajua cha kujibu!
Ni majangili tupuNi wezi wakubwa
KabisaNi majangili tupu
Ni swala la muda Sion future yake ndan ya Miaka 10 IJAYOAtamile mushuti! As long as CCM ilikuwepo madarakani hujazaliwa na ipo leo una wajukuu. Tu assume nilivyosema ni sahihi.
TuyashughulikieKabisa
Tuyashughulikie
"Yeyote mwenye akili na macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za hovyo sana na ni za hovyo kwa sababu mfumo mzima wa kiutawala wa nchi hii ni mfumo wa hovyo" - Tundu lissu, Mwenyekiti CHADEMA.
Mwaka 1997 wakati Mzee Mkapa anachukua Uwenyekiti wa CCM Taifa, gazeti la RAI kipindi kile liliandika, nanukuu, "CCM Kumfia Mkapa Mkononi". Ahahahahaha!!!Ni swala la muda Sion future yake ndan ya Miaka 10 IJAYO
SureMkuu huu mwaka wa uchaguzi ndo wakuyashughulikia