the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Hakuna uchaguzi ni ulaghai na ufujaji wa mali za ummaMfumo wa siasa wa hii nchi Hauna afya Kwa mfumo wa vyama vingi
Hata ya DC wa Longido piaHuu ndo ukweli.
Tena Chadema wanatakiwa ku play clip ya Nape akiwa kwenye ule mkutano wa Byabato Karagwe kuwasikiliza Wananchi alafu wanawauliza kwa haya maneno ya Nape kuna haja ya kuwa na uchaguzi bila reforms?
Wananchi wenyewe watajua cha kujibu!
Nape aliongelea Kashai, Bukoba Manispaa na sio Karagwe.Huu ndo ukweli.
Tena Chadema wanatakiwa ku play clip ya Nape akiwa kwenye ule mkutano wa Byabato Karagwe kuwasikilizsha Wananchi alafu wanawauliza kwa haya maneno ya Nape kuna haja ya kuwa na uchaguzi bila reforms?
Wananchi wenyewe watajua cha kujibu!
Asante kwa kunirekebisha. Nimerekebisha.Nape aliongelea Kashai, Bukoba Manispaa na sio Karagwe.
Hakuna kitakachozuia Uchaguzi Mkuu kufanyika na nzuri zaidi hakuna kitakachozuia CCM kupata ushindi wa kishindo!!
Sio kupata ushindi wa kishindo, bali kutangazwa kwa kishindo maana tayari uchaguzi ni wa hovyo, hivyo utatoa ushindi wa hovyo.Nape aliongelea Kashai, Bukoba Manispaa na sio Karagwe.
Hakuna kitakachozuia Uchaguzi Mkuu kufanyika na nzuri zaidi hakuna kitakachozuia CCM kupata ushindi wa kishindo!!
Mjinga ni yule anayeamini vyombo vya dola vinavyofanya kazi kwa uadilifu mkubwa vitasikiliza kelele za wahuni.Asante kwa kunirekebisha. Nimerekebisha.
Kuhusu uchaguzi endeleeni na kiburi chenu tu sasaivi maombi yetu ni vyombo vya dola viamke kuwaonesha CCM nyie ni wajinga tu!
Sasa unaloloma nini kama hayo unayajua na HUNA NAMNA yoyote ya kufanya. Na mwaka huu tunashinda kwa kishindo na wewe itabaki unaloloma JF. Na mwaka 20230 tutashinda tena kwa kishindo na wewe itabaki unaloloma tu!!Sio kupata ushindi wa kishindo, bali kutangazwa kwa kishindo maana tayari uchaguzi ni wa hovyo, hivyo utatoa ushindi wa hovyo.
Sasa unaloloma nini kama hayo unayajua na HUNA NAMNA yoyote ya kufanya. Na mwaka huu tunashinda kwa kishindo na wewe itabaki unaloloma JF. Na mwaka 20230 tutashinda tena kwa kishindo na wewe itabaki unaloloma tu!!
Wahaya tunasema, "Ali angoma, niwe mukama". Wewe badili misamiati utakavyo na unaruhusiwa, lakini HAKUNA wa kuubadili uongozi wa CCM Tanzania.Nasema hivi, ondoa neno kushinda, sema kutangazwa washindi kwa kishindo kwenye chaguzi za kishenzi.
Kabisa tunapoteza mabilioni ya pesa katika chaguzi ambazo matokeo tayari yameandaliwaHakuna uchaguzi ni ulaghai na ufujaji wa mali za umma
Nyuzi za kimhusu Lisu Jamii forums sasa hivi hazina mvuto toka achaguliwe mwenyekiti"Yeyote mwenye akili na macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za hovyo sana na ni za hovyo kwa sababu mfumo mzima wa kiutawala wa nchi hii ni mfumo wa hovyo" - Tundu lissu, Mwenyekiti CHADEMA.
Ni kweli, hadi machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.Wahaya tunasema, "Ali angoma, niwe mukama". Wewe badili misamiati utakavyo na unaruhusiwa, lakini HAKUNA wa kuubadili uongozi wa CCM Tanzania.