LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
anasimamia maridhiano ya 4RHaya ni maajabu ya karne Mbowe kuungwa mkono na CCM!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anasimamia maridhiano ya 4RHaya ni maajabu ya karne Mbowe kuungwa mkono na CCM!!
😂😂😂Mbowe na Lipumba damu damu
Hivi wewe ni mgeni wa siasa hizi? Tundu Lissu anaanzia wapi kushinda?Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tatu (3 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,
1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),
Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani Kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically utaungwa mkono na walio chini yao jibu ni HAPANA,
Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara pili swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kabisa.
Tujiuluze kwa polepole kabisa huyu Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliokataa kurudisha Wenyeviti wa Kanda waliohudumu miaka mitano tu akiwemo Peter Msigwa,Kisayansi nikisema hata yeye hawatamchagua nakosea?
Jibu ni HAWATAMCHAGUA PIA.
Hii itakuwa ni scenario mpya kwa wapigakura hawa waliokataa kuwarudisha wenyeviti wa Kanda waliodumu kwa miaka mitano tu lakini wewe utegemee wapigakura haohao waje wakuchague wewe uliyekaa madarakani kwa miaka 20.
Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi kabisa tayari Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi.
2. Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayopitia wapigakura hawa ni makubwa nadhani kuliko kiasi chochote Cha fedha hivyo wapigakura hawezi kuchagua Ofisi na pesa ambazo hata haziwafikii watachagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wanaowaongoza ila kamwe hawezi kuchagua pesa na mali.
3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo ni mwiko na taboo kwa CHADEMA, Kwa tetesi zote hizi Mbowe haaminiki tena kwa wadau wa maendeleo wa CHADEMA wandani na nje ya nchi hivyo kumchagua Mbowe ni kufunga kabisa milango yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hivyo Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa na kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa kwa wajumbe ni kielelezo kingine namba 4 kwamba Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si Utamaduni Wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani.
×××××××
numbers za Lisu ziko wapi sasa ndugu msomi na mtaalamu wa siasa?🤣Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tatu (3 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,

Sioni "Sayansi" ila ninakubaliana na uchambuzi maridhawa.Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tatu (3 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,

Kwani sio wabunge wa JMT kupitia chadema?Kama ndivyo basi wao pia ni wajumbe wa mkutano mkuuMkuu, ina maana na hawa Covid 19 wanapiga kura? Kwani wao ni wanachama wa CHADEMA? Tufahamishane!
Ni kweli kwa sababu ni mtoto pendwa na dola.Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti na nyie nyumbu hamna cha kufanya.😁
Ngoja kwanza nichekeeee....hahahahahahah!Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tatu (3 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,
1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),
Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani Kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically utaungwa mkono na walio chini yao jibu ni HAPANA,
Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara pili swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kabisa.
Tujiuluze kwa polepole kabisa huyu Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliokataa kurudisha Wenyeviti wa Kanda waliohudumu miaka mitano tu akiwemo Peter Msigwa,Kisayansi nikisema hata yeye hawatamchagua nakosea?
Jibu ni HAWATAMCHAGUA PIA.
Hii itakuwa ni scenario mpya kwa wapigakura hawa waliokataa kuwarudisha wenyeviti wa Kanda waliodumu kwa miaka mitano tu lakini wewe utegemee wapigakura haohao waje wakuchague wewe uliyekaa madarakani kwa miaka 20.
Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi kabisa tayari Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi.
2. Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayopitia wapigakura hawa ni makubwa nadhani kuliko kiasi chochote Cha fedha hivyo wapigakura hawezi kuchagua Ofisi na pesa ambazo hata haziwafikii watachagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wanaowaongoza ila kamwe hawezi kuchagua pesa na mali.
3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo ni mwiko na taboo kwa CHADEMA, Kwa tetesi zote hizi Mbowe haaminiki tena kwa wadau wa maendeleo wa CHADEMA wandani na nje ya nchi hivyo kumchagua Mbowe ni kufunga kabisa milango yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hivyo Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa na kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa kwa wajumbe ni kielelezo kingine namba 4 kwamba Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si Utamaduni Wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani.
×××××××
Sio kweli. Hicho ni chama chake binafsi usijifanye huelewi.Ni kweli kwa sababu ni mtoto pendwa na dola.
Ushindwe wewe na uregee. Kashinda kwa uchaguzi na matokeo yapi kumbaff kubwa sana. Nyoko!1Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tatu (3 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,
1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),
Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani Kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically utaungwa mkono na walio chini yao jibu ni HAPANA,
Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara pili swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kabisa.
Tujiuluze kwa polepole kabisa huyu Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliokataa kurudisha Wenyeviti wa Kanda waliohudumu miaka mitano tu akiwemo Peter Msigwa,Kisayansi nikisema hata yeye hawatamchagua nakosea?
Jibu ni HAWATAMCHAGUA PIA.
Hii itakuwa ni scenario mpya kwa wapigakura hawa waliokataa kuwarudisha wenyeviti wa Kanda waliodumu kwa miaka mitano tu lakini wewe utegemee wapigakura haohao waje wakuchague wewe uliyekaa madarakani kwa miaka 20.
Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi kabisa tayari Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi.
2. Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayopitia wapigakura hawa ni makubwa nadhani kuliko kiasi chochote Cha fedha hivyo wapigakura hawezi kuchagua Ofisi na pesa ambazo hata haziwafikii watachagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wanaowaongoza ila kamwe hawezi kuchagua pesa na mali.
3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo ni mwiko na taboo kwa CHADEMA, Kwa tetesi zote hizi Mbowe haaminiki tena kwa wadau wa maendeleo wa CHADEMA wandani na nje ya nchi hivyo kumchagua Mbowe ni kufunga kabisa milango yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hivyo Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa na kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa kwa wajumbe ni kielelezo kingine namba 4 kwamba Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si Utamaduni Wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani.
×××××××
How?, Funguka MkuuIssue ya IDU (INTERNATIONAL DEMOCRATIC UNION) imempunguzia nguvu Mhe Mbowe na imemuongezea momentum Mhe Lissu.
Mbowe anapigania mkate wake. Tumuache aupambanie.Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tatu (3 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,
1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),
Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani Kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically utaungwa mkono na walio chini yao jibu ni HAPANA,
Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara pili swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kabisa.
Tujiuluze kwa polepole kabisa huyu Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliokataa kurudisha Wenyeviti wa Kanda waliohudumu miaka mitano tu akiwemo Peter Msigwa,Kisayansi nikisema hata yeye hawatamchagua nakosea?
Jibu ni HAWATAMCHAGUA PIA.
Hii itakuwa ni scenario mpya kwa wapigakura hawa waliokataa kuwarudisha wenyeviti wa Kanda waliodumu kwa miaka mitano tu lakini wewe utegemee wapigakura haohao waje wakuchague wewe uliyekaa madarakani kwa miaka 20.
Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi kabisa tayari Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi.
2. Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayopitia wapigakura hawa ni makubwa nadhani kuliko kiasi chochote Cha fedha hivyo wapigakura hawezi kuchagua Ofisi na pesa ambazo hata haziwafikii watachagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wanaowaongoza ila kamwe hawezi kuchagua pesa na mali.
3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo ni mwiko na taboo kwa CHADEMA, Kwa tetesi zote hizi Mbowe haaminiki tena kwa wadau wa maendeleo wa CHADEMA wandani na nje ya nchi hivyo kumchagua Mbowe ni kufunga kabisa milango yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hivyo Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa na kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa kwa wajumbe ni kielelezo kingine namba 4 kwamba Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si Utamaduni Wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani.
×××××××
Mbowe ana watu kawapa pesa nyingi wamuunge mkono lakini wengi wapo na mbowe machoni lakini moyoni wapo na LisuKwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tatu (3 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,
1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),
Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani Kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically utaungwa mkono na walio chini yao jibu ni HAPANA,
Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara pili swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kabisa.
Tujiuluze kwa polepole kabisa huyu Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliokataa kurudisha Wenyeviti wa Kanda waliohudumu miaka mitano tu akiwemo Peter Msigwa,Kisayansi nikisema hata yeye hawatamchagua nakosea?
Jibu ni HAWATAMCHAGUA PIA.
Hii itakuwa ni scenario mpya kwa wapigakura hawa waliokataa kuwarudisha wenyeviti wa Kanda waliodumu kwa miaka mitano tu lakini wewe utegemee wapigakura haohao waje wakuchague wewe uliyekaa madarakani kwa miaka 20.
Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi kabisa tayari Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi.
2. Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayopitia wapigakura hawa ni makubwa nadhani kuliko kiasi chochote Cha fedha hivyo wapigakura hawezi kuchagua Ofisi na pesa ambazo hata haziwafikii watachagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wanaowaongoza ila kamwe hawezi kuchagua pesa na mali.
3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo ni mwiko na taboo kwa CHADEMA, Kwa tetesi zote hizi Mbowe haaminiki tena kwa wadau wa maendeleo wa CHADEMA wandani na nje ya nchi hivyo kumchagua Mbowe ni kufunga kabisa milango yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hivyo Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa na kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa kwa wajumbe ni kielelezo kingine namba 4 kwamba Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si Utamaduni Wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani.
×××××××
Wewe nyumbu umevimbiwa pesa haramu ulizopewa na mbowe ili umsaidie kuchakachua uchaguzi awe mwenyekiti haramu na chadema iwe kama CUF NCCR na TLPMbowe ataendelea kuwa mwenyekiti na nyie nyumbu hamna cha kufanya.😁
Mbowe ameiba pesa nyingi za chama akawa mchoyo ubinafsi mwingi , kaamua pesa yake iliwe na chawa wake akina Boniface na mdee na wenzao, pesa zote alizowanyima wenzake kiuchoyo zitaliwa zote uenyekiti ataununua kwa gharama kubwa sanaHivi mbowe na watu wake huwa hawasomi mitandaoni aone jinsi asivyotakiwa kugombea tena? Anashupaza shingo huku anaona kabisa hatakiwi tena kuwa mwenyekiti. Kama si dikteta ni nani kung'ang'ania madaraka huku hatakiwi?
Uenyekiti ataununua kwa mabilioniNasikia hapendi kuabika
Mbowe ana umakini upi ?Hivi wewe ni mgeni wa siasa hizi? Tundu Lissu anaanzia wapi kushinda?
Chama lazima kiwe kwa mtu makini. Huwez acha tu chama lazima kiwe mikono salama