Lissu ameshamshinda Mbowe!!

Hivi wewe ni mgeni wa siasa hizi? Tundu Lissu anaanzia wapi kushinda?
Chama lazima kiwe kwa mtu makini. Huwez acha tu chama lazima kiwe mikono salama
 
numbers za Lisu ziko wapi sasa ndugu msomi na mtaalamu wa siasa?🤣

au ndio mdomo na makelele tu kama ya Kibaraka?🐒
 
Sioni "Sayansi" ila ninakubaliana na uchambuzi maridhawa.
 
Mkuu, ina maana na hawa Covid 19 wanapiga kura? Kwani wao ni wanachama wa CHADEMA? Tufahamishane!
Kwani sio wabunge wa JMT kupitia chadema?Kama ndivyo basi wao pia ni wajumbe wa mkutano mkuu
 
N
Ngoja kwanza nichekeeee....hahahahahahah!
 
Mda utazungumza Chadema ndo CUF ijayo ACT ndo kinaenda kua chama kikuu cha upinzani kila zama na kitabu chake kwaeli chadema Mbowe kamaliza kazi yake mda wa zitto
 
Ushindwe wewe na uregee. Kashinda kwa uchaguzi na matokeo yapi kumbaff kubwa sana. Nyoko!1
 
Mbowe anapigania mkate wake. Tumuache aupambanie.
 
Mbowe ana watu kawapa pesa nyingi wamuunge mkono lakini wengi wapo na mbowe machoni lakini moyoni wapo na Lisu
 
Hivi mbowe na watu wake huwa hawasomi mitandaoni aone jinsi asivyotakiwa kugombea tena? Anashupaza shingo huku anaona kabisa hatakiwi tena kuwa mwenyekiti. Kama si dikteta ni nani kung'ang'ania madaraka huku hatakiwi?
Mbowe ameiba pesa nyingi za chama akawa mchoyo ubinafsi mwingi , kaamua pesa yake iliwe na chawa wake akina Boniface na mdee na wenzao, pesa zote alizowanyima wenzake kiuchoyo zitaliwa zote uenyekiti ataununua kwa gharama kubwa sana
 
Hivi wewe ni mgeni wa siasa hizi? Tundu Lissu anaanzia wapi kushinda?
Chama lazima kiwe kwa mtu makini. Huwez acha tu chama lazima kiwe mikono salama
Mbowe ana umakini upi ?
Usalama upi anao Mbowe ? au kuiba pesa za chama uchoyo ubinafsi ubabe ndiyo usalama wa chadema ? Sasa kama mliona hakuna usalama mmeitisha uchaguzi wa nini ? Mngeacha mbowe awe mfalume wa chadema
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki Mbowe anaachia kiti. Ukifanya uchambuzi utagundua mambo kadhaa

1. Lissu hachafuliki, hana kashfa.. kashfa wanayotembea nayo eti ametumwa na CCM aharibu chama. Lkn ukiangalia hata kwa akili ya kawaida utagundua kati ya Lissu na Mbowe ni nani ambaye ni rahisi kununulika kutokana na misimamo yake.

2. Kuna kundi kubwa la viongozi wa chini( wa majimbo, wilaya na mikoa) hawa ni wapiga kura ambao wengi wao hawana connection ya moja kwa moja na Mbowe. Hawa ni rahisi kumuunga mkono Lissu kwa kusema au kwa siri. Hao viongozi wa kanda lazima wamuunge mkono Mbowe kwa sababu kwa namba moja au nyingine uingiaji wao ulitegemea sana nguvu ya Mwenyekiti

3. Uwezo wa Lissu na Mbowe wanachama wa Chadema wanaujua. Trust me, watamchagua Lissu labda waibe kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…