Lissu ameshamshinda Mbowe!!

Hivi Makamanda hamshituki mbona Mafisiemu wanampigia debe sana Mbowe na kumfanya msafi bora wa wakati wote?

Niwakumbushe tu hakuna adui anaekutakia Mema, ukitaka kuamini hilo basi Lisu ajivue ugombea uone watakavyorelax Chawa wa Mama Abdul.

Lisu ndio tiba ya vyama vibovuvibovu, aidha CDM ipone au ife kabisa hatutaki unafiki awamu hii.
 
Point aisee
 
Hivi mbowe na watu wake huwa hawasomi mitandaoni aone jinsi asivyotakiwa kugombea tena? Anashupaza shingo huku anaona kabisa hatakiwi tena kuwa mwenyekiti. Kama si dikteta ni nani kung'ang'ania madaraka huku hatakiwi?
Wanasema na wanajua hawatoboi
 
"Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama"
 
Tayari CHADEMA imeshakufa hii hata mfanyaje wengi wenu huko ni Wana CCM wenzetu
 
Hii ni kweli kabisa
 
Rai yangu muwe tayari kuyapokea matokeo hata kama ushindi hapo upande wenu Kila lakheri Mbowe
 
Hongera zake
 
BALAA TUPU
 
Nakubaliana na hii kabisa
 
Uko sahihi
Alafu kikulacho ki nguoni mwako
Utashangaa hata j. Myika anamyima kura boss wake
 
Kuna mtu wangu mmoja wa karibu yupo kamati kuu kapewa mahelaa katia mfukoni na kwenye uchaguzi atamkata mbowe
 
Hakika na kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…