Lissu ameshamshinda Mbowe!!

Lissu ameshamshinda Mbowe!!

Newforce

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2024
Posts
430
Reaction score
708
IMG-20241224-WA0247.jpg

LISSU AMESHINDA KABLA YA KUSHINDA

Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tano (5 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,

1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Freeman Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),

Freeman Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically ataungwa mkono na wajumbe walio chini yao jibu ni HAPANA.

Freeman Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono au asiyemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara ya pili, Swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kwa Mwenyekiti wa Taifa.

Kama hivyo ndivyo tujiuluze polepole kabisa Freeman Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliowatosa wenyeviti wa Kanda waliohudumu kwa miaka mitano tu akiwemo Bwana Peter Msigwa, Kisayansi nikisema wapigakura hawa hata yeye pia hawatamchagua kwa kuwa anamiaka 20 madarakani nakosea?
Jibu ni HAPANA.

Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi tena bila bias yoyote ni ukweli mchungu kwamba kaka yangu Freeman Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi kufanyika.

2. Freeman Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayoyapitia wapigakura hawa ni makubwa kuliko kiasi chochote Cha fedha anachoweza kukitaja Freeman Mbowe hivyo ni wazi wapigakura hawa hawawezi kuchagua Ofisi au pesa ambazo hata haziwafikii Majimboni kwao na nirahisi kwao kuchagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wale wote wanao waongoza ila ni ngumu zaidi kwao kuchagua pesa au mali.

3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo kwa asili si ya CHADEMA huwa ni mwiko na taboo kwa CHADEMA tunayoifahamu, Kwa tetesi na tuhuma zote hizi zinazoelekezwa kwa Freeman Mbowe na maswaiba wake ni wazi haaminiki tena kwa wadau wote wa maendeleo ya CHADEMA ikiwa ni wandau wa ndani au wanje ya nchi, Nirahisi wajumbe kuona kumchagua Freeman Mbowe ni kufunga kabisa milango yao yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hii pia ishara kuwa Freeman Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa Kwakuwa misaada ni muhimu zaidi kwa Ujenzi wa Chama na wajumbe ni ngumu kuchagua Freeman Mbowe na kuacha michango na misaada ya wahisani.

4. Freeman Mbowe kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa au kujipanga kutumia pesa ili kutongoza wajumbe ni kielelezo kingine Cha Mwisho kwamba Freeman Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si utamaduni wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani hili wajumbe hata kama watapokea pesa mwisho watamnyima kura kwani ni jambo geni kwao kuhongwa ili kumchagua Mwenyekiti wao wa Taifa.

5. Kura za maoni toka kwenye Mitandao ya Kijamii, Hiki pia ni kielelezo cha Mwisho Cha haya ninayoyaandika wakati kule Jf Tundu Lissu ana 81% Freeman Mbowe ana 19% kule Jambo TV Tundu Lissu ana 84% wakati Freeman Mbowe ana 16% hizi ni namba na namba huwa hazina kasumba ya kudanganya.

MBOWE KASHINDWA KABLA YA KUSHINDWA

×××××××
 
Natoa facts 3 tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi kabla ya kura,

1. Uchaguzi ni namba mpaka Sasa kundi linalomuunga mkono Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao haizidi watu 7, Mbowe atambue ni kosa kudhani Kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically ataungwa mkono na walio chini yao Jibu ni HAPANA,
Mbowe akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda aliyechaguliwa kwa mara pili swali ni kwanini? Sasa huyu Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo, Hii itakuwa ni scenario mpya kwa wapigakura hawa waliokataa kuwarudisha wenyeviti wa Kanda waliodumu kwa miaka mitano tu lakini wewe utegemee wapigakura haohao waje wakuchague wewe uliyekaa madarakani kwa miaka 20.
Kwa utafiti huu wa kisayansi kabisa tayari Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi.

2. Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 wakati madhila wanayopitia ni makubwa kuliko kiasi chochote Cha fedha hivyo wapigakura hawezi kuchagua Ofisi watachagua zaidi hatma ya Uhai wao na ya wanaowaongoza ila kamwe hawezi kuchagua pesa na Mali.

3. Kasha za rushwa, Ufisadi na kulamba asali ni mwiko na taboo kwa CHADEMA, Mbowe haaminiki tena kwa wadau wa maendeleo wa CHADEMA wandani na nje ya nchi hivyo kumchagua Mbowe ni kufunga milango yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hivyo Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa na kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa kwa wajumbe ni kielelezo namba 2 kwamba Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si msingi wa CHADEMA ya Mtei na Bob Makani.

×××××××
Na kielelezo ni boni yai kanda ya pwani
 
MBOWE katia aibu, hata kama katiba inamruhusu kugombea Tena. MBOWE ni Museveni wa CHADEMA
 
Mshaurini Mbowe ajitoe maana zama zimebadilika. Waru wanataka mabadiliko. Na mwaka kesho CCM nao wajiandae kwa kimbunga!
 
Imenisikitisha sana kuona mtu kama Yericko Nyerere ameamua kupambania timu fisadi...
 
Kama lisu amekwisha shinda si usubiri hiyo tarehe ya uchaguzi.
Au unadhani box la kura lipo jf
 
Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tatu (3 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,

1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),

Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani Kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically utaungwa mkono na walio chini yao jibu ni HAPANA,

Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara pili swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kabisa.

Tujiuluze kwa polepole kabisa huyu Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliokataa kurudisha Wenyeviti wa Kanda waliohudumu miaka mitano tu akiwemo Peter Msigwa,Kisayansi nikisema hata yeye hawatamchagua nakosea?
Jibu ni HAWATAMCHAGUA PIA.

Hii itakuwa ni scenario mpya kwa wapigakura hawa waliokataa kuwarudisha wenyeviti wa Kanda waliodumu kwa miaka mitano tu lakini wewe utegemee wapigakura haohao waje wakuchague wewe uliyekaa madarakani kwa miaka 20.

Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi kabisa tayari Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi.

2. Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayopitia wapigakura hawa ni makubwa nadhani kuliko kiasi chochote Cha fedha hivyo wapigakura hawezi kuchagua Ofisi na pesa ambazo hata haziwafikii watachagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wanaowaongoza ila kamwe hawezi kuchagua pesa na mali.

3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo ni mwiko na taboo kwa CHADEMA, Kwa tetesi zote hizi Mbowe haaminiki tena kwa wadau wa maendeleo wa CHADEMA wandani na nje ya nchi hivyo kumchagua Mbowe ni kufunga kabisa milango yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hivyo Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa na kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa kwa wajumbe ni kielelezo kingine namba 4 kwamba Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si Utamaduni Wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani.

×××××××
Ndoto
 
Back
Top Bottom