Pre GE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu jamaa ni kiande kweli kweli.

Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?

Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?

Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?

Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.

Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.

Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.

Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?

Mpumbavu!
 
Atafute namna nyingine tuu hii ya maandamano kwa watanzania ni uongo imesha shindwa, serikali inajua kabisa yakitangazwa maandamano wao watatoa vitisho kidogo tuu na hakuna atakae ingia barabarani afikirie upya
 
Huyu jamaa ni kiande kweli kweli.

Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?

Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?

Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?

Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.

Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.

Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.

Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?

Mpumbavu!
Jikite kwenye hoja , sijaona tusi jipya kwenye andiko hapo
 
TL kuwa makini, Hiyo kete unayoisogeza kwa ccm inaweza ikawa king kwa ccm.
Naona unataka kumpa raisi Dr samia muda zaidi.

Kete ikitumika vizuri Mchakato wa mabadiliko ukaenda mpaka 2028 tarehe ya uchaguzi ikatangazwa 2030 na Samia akashinda hiyo inaitwa Free ride.
 
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom