KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Bado tu watu hamjapona vidonda vya uchaguzi......Huyu jamaa ni kiande kweli kweli.
Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?
Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?
Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?
Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.
Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.
Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.
Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?
Mpumbavu!