Pre GE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

Pre GE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anataka katiba itakayowasaidia kushika dola, kama kutakuwa na viashiria vya kushindwa watazuia uchaguzi. Hapa ndio penye shida.
 
Msikilize anavyoongea kwanza, Wasira ni debe tupu yeye atapambana na rais, no reform no election itawezekana tuu mlimzoea mbowe kucheka cheka naye na mulifanya juhudi kubwa sana Tundu kumzuia asiwe mwenyekiti sababu ndio hizi sasa mtapambana naye kama mtaweza,

Tanzania ilihitaji kiongozi wa aina hii muda mrefu, kama mnahitaji kufanya uchaguzi na ACT tu mtawaeleza hao washirika wenu wanaokupeni fedha kuendesha nchi yenu na miradi ya maendeleo
yaani hapo ndiyo huwa mnafeli kuna vyama vingi vya siasa siyo vyama viwili vya siasa hivi agome chadema vyama vingine vishiriki mtasema uchaguzi usimame kwaajili ya chama kimoja chadema?> who is chadema by the way ? wasuse wenzao wanashiriki na uchaguzi ukiisha wasubiri mpaka uchaguzi mwingine nao wakisusa tunaendelea hivyo hivyo watabaki kuwa chama cha upinzan milele
 
Vyote hivyo vimetekelezwa.
Ni sawa kama ni kweli.

Basi mapema hii Tundu Antipas Lissu mwanasheria nguli inatakiwa akae na wanasheria wake wa chama wazipitie hizo sheria mpya za uchaguzi kama zinafaa na ni huru kweli kweli wajiridhishe . Kama wakiona mapungufu , kwa kushirikiana na wadau wa haki wakae na serikali au rais meza moja kuona ni namna gani tume huru ya uchaguzi itaendesha uchaguzi mkuu 2025 kwa haki kabisa bila wizi wa kura wala rushwa
 
Unataka nikushikishe ukuta? Mbona sielewi swaga zako
Eti swaga!!!
Boya kama wewe umshikishe ukuta nani?
Umekaa nyuma ya keyboard unajitutumua wakati hata uandishi wako, jina lako unalotumia, interests zako, michango yako pamoja na mada zako hapa jukwaani zinaonesha kuwa wewe ni mchele ulionyooka kabisa.
Nenda WCB kapige umbea na Zuchu, haya mambo makubwa achana nayo.
 
Huyu jamaa ni kiande kweli kweli.

Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?

Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?

Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?

Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.

Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.

Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.

Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?

Mpumbavu!
(1) Si Kiande,,,Kiande ni wewe mwenye Mtazamo wa Kichawa,
(2)Mwnyekiti wa CHAMA KILICHOTHIBITISHA NI CHA KIDEMOKRASIA Duniani kote,
(3)Si kuropoka ni kuwaambia ukweli WAKOLONI weusi Wanaojineemesha wao na Watoto na WAjukuu zao kwa KODI zetu....si umeona amekataa kapu la fedha kutoka kwa Abdul?
(4) Anataka uchaguzi HURU na HAKI kama ulivyouona wa CHADEMA juzi
(5) Umeonesha UKIANDE wako kwa kuingiza matusi,,,,ni lini na wapi LISU ametukana kama wewe hapo?
(6) Mbowe hajachafuliwa bali ameambiwa ukweli,,,ndio maana amenyamaza
 
Atafute namna nyingine tuu hii ya maandamano kwa watanzania ni uongo imesha shindwa, serikali inajua kabisa yakitangazwa maandamano wao watatoa vitisho kidogo tuu na hakuna atakae ingia barabarani afikirie upya
Kumbuka anaeongea hapo ni survivor wa risasi 16
 
Ni sawa kama ni kweli.

Basi mapema hii Tundu Antipas Lissu mwanasheria nguli inatakiwa akae na wanasheria wake wa chama wazipitie hizo sheria mpya za uchaguzi kama zinafaa na ni huru kweli kweli wajiridhishe . Kama wakiona mapungufu , kwa kushirikiana na wadau wa haki wakae na serikali au rais meza moja kuona ni namna gani tume huru ya uchaguzi itaendesha uchaguzi mkuu 2025 kwa haki kabisa bila wizi wa kura wala rushwa
Hazijatengenezwa ku msuit Lisu Bali Wananchi wengi.
 
(1) Si Kiande,,,Kiande ni wewe mwenye Mtazamo wa Kichawa,
(2)Mwnyekiti wa CHAMA KILICHOTHIBITISHA NI CHA KIDEMOKRASIA Duniani kote,
(3)Si kuropoka ni kuwaambia ukweli WAKOLONI weusi Wanaojineemesha wao na Watoto na WAjukuu zao kwa KODI zetu....si umeona amekataa kapu la fedha kutoka kwa Abdul?
(4) Anataka uchaguzi HURU na HAKI kama ulivyouona wa CHADEMA juzi
(5) Umeonesha UKIANDE wako kwa kuingiza matusi,,,,ni lini na wapi LISU ametukana kama wewe hapo?
(6) Mbowe hajachafuliwa bali ameambiwa ukweli,,,ndio maana amenyamaza
Miaka yote tunafanya uchaguzi huru na Haki
 
Anataka katiba itakayowasaidia kushika dola, kama kutakuwa na viashiria vya kushindwa watazuia uchaguzi. Hapa ndio penye shida.
Katiba ya kuwasaidia Chadema waitengeneze ikawasaidie huko ufipa ila Kuna Katiba ya kusaidia Watanzania na Vyama vyote.
 
Freeman Aikael Mbowe...

Akaanza chama taratibu, ikaenda kwenye kuibua ufisadi, Kisha akahamia GIA ya maandamano, kisha akaona heri tumkaribishe Lowassa huyu tutaingia Ikulu na tukishaingia Ikulu bas tutabadili Mambo, ikashindikana, akaja Magufuli sote tunajua nini kilitokea.

Akaja Samia akapona maridhiano yanaweza fanikisha lengo la kutwaa madaraka, ndio imekuwa hivyo...

Mbowe anaweza kuwa na matatizo kwenye suala la namna anavyoshughilikia pesa ila ni kiongozi mzuri sana lakini Lissu hafai kuwa kiongozi wa juu.

Tabia zake zitamuharibu Yeye mwenyewe.
 
Huyu jamaa ni kiande kweli kweli.

Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?

Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?

Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?

Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.

Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.

Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.

Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?

Mpumbavu!
Mashoga mkicharuka🙌
 
Back
Top Bottom