Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Msipofanya uchaguzi ni hasara ya nani?
Jikite kwenye hoja , sijaona tusi jipya kwenye andiko hapoHuyu jamaa ni kiande kweli kweli.
Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?
Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?
Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?
Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.
Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.
Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.
Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?
Mpumbavu!
Mwezi wa kumi sio mbali tusubiri tuone jambo lake likifanikiwaTundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano"
Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa
Kwa nchi ombaomba kama hii, linaweza kufanikiwa kwa shinikizo toka nchi mnazoita wahisani.Mwezi wa kumi sio mbali tusubiri tuone jambo lake likifanikiwa
Kumekucha, Kumekucha!Haya
Miaka mingapi?Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano"
Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa
ππππππππππTundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano"
Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa
HahahahahaTL kuwa makini, Hiyo kete unayoisogeza kwa ccm inaweza ikawa king kwa ccm.
Naona unataka kumpa raisi Dr samia muda zaidi.
Kete ikitumika vizuri Mchakato wa mabadiliko ukaenda mpaka 2028 tarehe ya uchaguzi ikatangazwa 2030 na Samia akashinda hiyo inaitwa Free ride.