Unaniuliza au unasema?Wenje amekubali kuwa Abdul alienda naye kwa Lissu!!??
Hayo maneno wanayasema wao, mimi nawewe tuwaombe wahusika ushahidi kisha tuuchambue sisi tupate ukweli.
Wakitufundisha kufikiri, tutakua bias.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaniuliza au unasema?Wenje amekubali kuwa Abdul alienda naye kwa Lissu!!??
Kuna watu mu wabishi mpaka basi.Unaniuliza au unasema?
Hayo maneno wanayasema wao, mimi nawewe tuwaombe wahusika ushahidi kisha tuuchambue sisi tupate ukweli.
Wakitufundisha kufikiri, tutakua bias.
Hapaswi kufukuzwa, wacha saga yote i play out na pia demokrasia ichukue mkondo wake.Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Hahaha unataka nifikiri kama,wewe?Kuna watu mu wabishi mpaka basi.
Wewe ndiye mjinga kwa sababu unadhani rushwa hutolewa kama sadaka kanisani..Mtu mstaarabu ni yule anayevumilia hard times hata kama anashutumiwa kwa uwongo! Wewe binafsi HUWEZI kutoa ushahidi wa unachokisema zaidi ya kujazwa ujinga na Mjinga Lissu!
Duh! Sijui unafikiri kwa kutumia nini?Hapo ndio uwezo wako uliorithishwa umefikia hapo.
Kwa hiyo mama yako anaweza kukushirikisha habari za mchepuko wake nawe utakaa kimya ukijua hiyo ndiyo hekima?
Hivi kwanini Lissu asianzishe chama chake? AlikuwaGA NCCR - Mageuzi sijui TLP akahama kwenda Chadema. Sasa hivi mwenye Chadema hamtaki. Swali langu sasa, kama kweli Lissu anakubalika na Watanzania si mumshauri aanzishe chama chake? Atadandia vya wenzie hadi lini? Mbona Zitto Kabwe alianzisha ACT - Wazalendo? Au Lissu hajiamini na amezoea vya kunyonga!?Ukimuuliza hilo swali majibu yake utajuta, lissu yuko makini sana mbowe hana namna ili chadema isiamame lissu awe mwenyekiti otherwise chadema kwisha habar yake
Chadema ni mali ya Mbowe. Anampishaje wakuja Lissu?Kumfukuza lissu chadema ni sawa na shamba la mahindi kumsusia tumbili., mbowe kama anaakili ni kumpisha lisu na kujitoa kwenye uchaguz
Chadema always hakuna demokrasia!!!!!Hapaswi kufukuzwa, wacha saga yote i play out na pia demokrasia ichukue mkondo wake.
Upuuzi, aache kufukuzwa king'ang'anizi wa madaraka Mbowe miaka zaidi ya 20 afukuzwe Lissu kwa kusema ukweli?!.Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
"ndiyo nilimpeleka Abdul kwa Tundu Lissu ili Abdul amlipe fedha zake za matibabu na mimi (Wenje) nipate mgawo wangu...!!"Wewe ndiye mjinga kwa sababu unadhani rushwa hutolewa kama sadaka kanisani..
Unataka ushahidi upi kwa ishu ya Hezekia Wenje wakati yeye mwenyewe kakiri kwa kinywa chake kuwa dalali wa rushwa za Mwenyekiti wa CCM Rais Samia kwa kumtumia mwanae Abdul Amir...?
Hezekia Dibogo Wenje kasema mwenyewe kwa mdomo wake kwamba, "...ndiyo nilimpeleka Abdul kwa Tundu Lissu ili Abdul amlipe fedha zake za matibabu na mimi (Wenje) nipate mgawo wangu...!!"
Unataka justification gani nyingine ili uthibitishe kuwa jamaa (Abdul - mtoto wa Rais Samia) anatembeza mlungula kwa viongozi wa CHADEMA kama huyu Hezekia Wenje na wenzake...?
Kama huoni na hutambui sura ya rushwa hapo, basi wewe ni miongoni mwa watu wajinga na wapumbavu kabisa hapa duniani unayehitaji msaada mkubwa wa kuufanyia ukarabati mkubwa ufahamu na uelewa wako wa mambo...!!
Huyo huyo unayemfahamu wewe..."ndiyo nilimpeleka Abdul kwa Tundu Lissu ili Abdul amlipe fedha zake za matibabu na mimi (Wenje) nipate mgawo wangu...!!"
Huyu Abdul ni nani?
Kwaiyo mulitudanganya kusema ni chama cha demokrasia na maendeleo, rangi zenu sasa zishajulikana wazwaz ni chama mnagangia njaaChadema ni mali ya Mbowe. Anampishaje wakuja Lissu?
UnajikanyagakanyagaHuyo huyo unayemfahamu wewe...
At least, ungemshauri Wenje asimame kwenye msimamo huu, asingejifunua..
Mwenzio (Wenje) kasema alikutana kwenye kikao cha sherehe ya harusi mahali fulani. Akatambulishwa kwake kuwa huyu ni Abdul Ameir mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania..
Kwa ufupi sana ni kuwa, Abdul ni mtu huyohuyo unayemfahamu wewe...!
Mimi ni CCM lialia. Sina unasaba wowote na Chadema.Kwaiyo mulitudanganya kusema ni chama cha demokrasia na maendeleo, rangi zenu sasa zishajulikana wazwaz ni chama mnagangia njaa
wenje ni rafiki yako eti..?Unajikanyagakanyaga
Mimi ni CCM lialia. Sina unasaba wowote na Chadema.
Hapana, ila niliwahi kufanya nae kazi back na day!wenje ni rafiki yako eti..?
kwaiyo yeye ndo bossHapana, ila niliwahi kufanya nae kazi back na day!
Mtu mstaarabu haropoki ila anasema anachoamini hadharani,saa sita na nusu mchana!..Saga la sasa Chadema linatusaidia watanzania wengi kujua kama tuna nchi salama au la..mimi naamini kuwa ..tuna nchi salama!Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Haya mazungumzo ni muhimu sana kwa kufumbua watu bongo zao.Wakuu,
Lissu anaongea club house sasa hivi kujibu hoja za wenje na kuongelea mambo mengine.
Kati ya aliyosema ni kuwa hajawahi kumtuma Wenje kuhusu madai yake kabisa na kwamba ni uongo. Lakini pia hajawahi kutoa doc za madai yake kwa abdul ili amsaidie kufatilie madai yake.
Alipoenda kumpa rushwa alitolewa nje, na siyo kwenda kuchukua docs za madai ya Lissukwahiyo wenje kadanganya.
Haya sasa mambo yanazidi kuwa matamu.
Kufatilia session hiyo washa VPN ukafaidi, bila VPN huwezi kusikiliza, ni kwenye channel ya Sauti ya Watanzania.
View attachment 3183679
View attachment 3183680