Lissu amkubali Sitta

Lissu amkubali Sitta

Mgema akisifiwa--- yangu macho mumwagieni mi sifa ila akiyakoroga msibadilishe kauli. Nafasi hiyo wange mpa Komba au kingunge nisingekuwa na shaka.

Kudadesa Jf haiishi Vituko.
 
Kidumu Chama cha Mapinduzi. Slaa alimwita Mnafiki, leo Lissu anamwita Muadilifu. Mwenyekiti wa Bunge anaweza kutoka Chama chochote ila Mwenyekiti Bora lazima atoke CCM.

acha ubwege wewe huna mambo ya maana ya kuzungumza, umaskini mpaka wa fikra? we unaonekana ukiambiwa ule kinyesi cha mwigulu utakitafuna kishujaa.
 
Mtu akimpinga sitta atakuwa anachuki binafsi japo chuki zake haziwezi kufua dafu.


Wewe mbona unapinga kila kitu hata kama ni cha maendeleo lkn kwa vile limesemwa na chadema. Jaribu kujitizama kabla ya kuongea au kuchangia. Usijaribu kumtetea mwanao kila kitu na kumsifia bila kujua anayoyafanya pembeni, ukayaona mazuri tu anayoyafanya mbele yako. Jirani anakuambia mwanao mwizi ww unakataa, jifunze!!!!!!
 
Nikweli kila binaadam anamapungufu yake nikweli,lakini kwa samwel sita mapungufu yake hayana madhara makubwa kwa bunge lenyewe la katiba pamoja na watz kwaujumla,kwasababu anao uwezo wa kuwaunganisha wabunge wa bunge hili na sikuzote atawakumbusha wajibu walio nao kwa watz,kwasababu hiyo ndio tabia yake,Utaifa kwanza uchama baadae majukwaani
 
Mwenyezi Mungu anamipango yake. Walimzibia uspika wa Bunge la jamuhuri tukasikikitika kumbe mungu alifahamu fika kuwa kuna Bunge mama la katiba mpya ambalo Ana makinda asingeliweza.
 
Yule Mzee bwana anasoma na kuulewa na ameshaifahamu na kujipambanua nafasi yake katika hii jamii yetu tunayoabudu pesa.
 
Sita ni jasiri ila ana mapungufu yake.upande mwingine anaigopa chama.mf ishu ya richmond aliacha hewani.tucitemteme sana
 
Watanzania ndivyo walivyo! Bendera fuata upepo sana hawa watu!
 
Mnamjua vizuri Sam Six lakini? mtakuja kumruka hapa.....
 
Aliweka doa pale alipoachiwa kukaimu Uwaziri mkuu Bungeni akawakandia wapinzania kama hana akili nzuri. Otherwise ni mtu shupavu na mwadilifu sana.
 
Back
Top Bottom