Huu ni wakati wa kuthibitisha kama kweli anaweza na atafanikiwa hilo kwa kuweka usawa kwa wajumbe wa pande zote
Akisimamia vizuri itamjenga kisiasa kwa wananchi bila kufuata itikadi za kisiasa lakini kwa wajumbe wa chama tawala ambao wanataka upendeleo fulani inaweza kumtesa kwenye mbio za Urais maana kufuata usawa ndio kitu kilisababisha asiwe spika kwa kipindi kingine,
Tusimsifie sana na kutegemea makubwa sana maana ni binadamu na itikadi zipo yeye ni mwanaCCM,
Ninamaliza kwa waliopo chama tawala ninaowafahamu na wanaopenda nafasi hiyo ni bora apewe sita