Pre GE2025 Lissu ana hali ngumu kuliko hata mbowe

Pre GE2025 Lissu ana hali ngumu kuliko hata mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndio unavyoona,umesahau wanaomshikiria Slaa kwa wiki kadhaaa walimshikiria Mbowe gerezani kwa Miezi 8

Fanya study zako vizuri bro mbona mambo rahisi haya
Mbowe alishikiliwa miezi 8 kwa kuwa chama kilikuwa hakina mwenyekiti, maana mwenyekiti alikuwa gerezani na makamu mwenyekiti alikuwa Ubelgiji. Kwa sasa wote wapo Dar
 
Mbowe alishikiliwa miezi 8 kwa kuwa chama kilikuwa hakina mwenyekiti, maana mwenyekiti alikuwa gerezani na makamu mwenyekiti alikuwa Ubelgiji. Kwa sasa wote wapo Dar
Nikuulize Swali?Dr.Slaa ni mwanachama wa Chadema?
 
Kuku anadondoshewa mahindi ili ajae kwenye mfumo
 
Dogo unamuengelea sana Tundu Lissu kuliko unavyoongea deals, utakufa fukara kwa uchawa na kufuatilia maisha ya mwanaume aliyekushinda kila kitu kwenye maisha Yako. Mbaya zaidi hata hakufahamu
Huyo ni fukara kupindukia tayari.
Alianza kupandisha nyuzi kutetea kile Rashman Rushie anakiita " Mhimili wa uovu duniani" kwa nguvu zake zote, akazidiwa hoja, baada ya ufukara kumpiga vilivyo, akajisajiri kwenye chawa wa FAM, sasa kaona bora aendelee kumpinga Lissu, huenda chawa kubwa wa FAM wakamuona hivyo akaingizwa kwenye "peirol".
 
Back
Top Bottom