Single_Father
JF-Expert Member
- Jan 23, 2025
- 281
- 438
Tufanyeje?
Usiniwekee maneno mdomoni... ila Kaaa kimya usiingilie majukumu ya watuShukran mkuu. Kwa hivyo tutegemee maandamano ya kwenda kumtoa Dr Slaa? Au sijakufahamu
Mbowe alishikiliwa miezi 8 kwa kuwa chama kilikuwa hakina mwenyekiti, maana mwenyekiti alikuwa gerezani na makamu mwenyekiti alikuwa Ubelgiji. Kwa sasa wote wapo DarNdio unavyoona,umesahau wanaomshikiria Slaa kwa wiki kadhaaa walimshikiria Mbowe gerezani kwa Miezi 8
Fanya study zako vizuri bro mbona mambo rahisi haya
Nikuulize Swali?Dr.Slaa ni mwanachama wa Chadema?Mbowe alishikiliwa miezi 8 kwa kuwa chama kilikuwa hakina mwenyekiti, maana mwenyekiti alikuwa gerezani na makamu mwenyekiti alikuwa Ubelgiji. Kwa sasa wote wapo Dar
Kwa mujibu wa LEMA amependekeza achaguliwe kamati kuuNikuulize Swali?Dr.Slaa ni mwanachama wa Chadema?
Tangu lini mtu mdini akawa na akiliHuwa unamatatizo ya akili et?
Huyo ni fukara kupindukia tayari.Dogo unamuengelea sana Tundu Lissu kuliko unavyoongea deals, utakufa fukara kwa uchawa na kufuatilia maisha ya mwanaume aliyekushinda kila kitu kwenye maisha Yako. Mbaya zaidi hata hakufahamu