Lissu anahujumiwa, CHADEMA imeuzwa

CHADEMA Kuna tatizo kubwa Sana,Mpango uliopo na ambao hausemwi ni kuwa MBOWE ana matamanio ya Kugombea URAIS 2025 badala ya kumwachia LISSU!!

Na ukiangalia kwenye hiyo ziara zao Mikoani,hakuna ubishi kuwa Pamoja na MBOWE kutumia Chopa bado ana gari mbili za Chama ambazo zinamfuata kwa Njia ya barabara,Swali wanaojiuliza watu wote kwa nini atumie gari 2 Pamoja na Chopa ilihali gari anayotumia Makamu Mwenyekiti limekodiwa?

Na kwanini Nguvu kubwa inatumika kumuuza MBOWE pekee yake ilihali kwenye hiyo ziara Kuna Viongozi wote wa Chama?

Wasalaamu!!,Ki Ufupi MBOWE aache tamaa,amwachie Lissu 2025 apeperushe bendera ya Chama,hata hili Suala la Covid 19 kwa nini haliishi,mchawi Mkubwa ni Mbowe!!
 
Haya lisu alipigwa risasi na mbowe kwann mbowe hajaitwa na kuhojiwa hata kushitakiwa???? Amka jombaa haya mambo ukayaongee mbele ya mambuzi wenzio tu wqtakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…