Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Hii game ya 2025 siyo ya kitoto tena. Lissu siyo tu mgombea, ni revolution on two legs. Jamaa amepitia risasi 16 na bado yuko kwenye ground anapigania haki – y’all can’t kill that kind of spirit! Kumkamata Lissu sio weakness, ni kumpa nguvu ya tsunami. Mnamsukuma moja kwa moja kwenye moyo wa wananchi walioteseka – that’s free campaign bro!
CCM bado mnaishi kwa ndoto za 1987, ilani yenu ni copy-paste, zero vision, zero brains. Mnategemea akina Mwijaku kuwa voices za chama? Yo, seriously? Huyu jamaa hata vyeti hana, full empty noise na TikTok drama. Kama kweli mnajiona mpo serious, tafuteni watu wenye akili – siyo clowns wa mitandao!
Chadema ni movement ya wasomi, wanyonge, na vijana wanaojua what’s up! Hakuna kupiga magoti tena – watu wameamka. Safari hii hakuna kupiga kura kwa kanga na pilau – we voting for justice, for future, for real change.
Na kwa wale mafisadi, just know – you gon’ pay for everything you did. Lissu akishika nchi, msahama wa kihuni hautakuwepo. It’s payback time!
This ain’t politics as usual. This is war for the soul of the nation – na Chadema tuko frontline!